Vyombo vya uslama vya Ujerumani vywakama magaidi wawili

Vyombo vya uslama vya Ujerumani vywakama magaidi wawili

Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Ujerumani vimefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa tuhuma ya Ugaidi, ambapo inasadikiwa ni miongoni mwa kikundi cha kigaidi cha Daesh na Jbhatun Nusrah nchini Syria

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na mahakama kuu ya Ujerumani katika kauli yake iliotanga kuwa: “Abdulmaliki” akiwa na umri wa miaka 30 na “Musa” ambaye mwenye umri wa miaka 23 walikamatwa wiki iliopita katika mji wa Berlin na mji wa Lower Saxony nchini humo.
Kwa mujibu wa ripoti hii wananchi hiyo walijiunga na kikundi cha kigaidi cha Jabhat Nusrah nchini Syria mwaka 2012 na baada ya hapo Abdulmalik alijiunga na kikundi cha kigaidi cha Daesh mwaka 2013.
Wiki iliopita kijana mmoja alio na umri wa miaka 29 amabye inasadikiwa kuwa alishiriki katika safu za vikundi vya kigaidi katika kufanya mashambulio ya kigaidi, alikamatwa na vyombo vya usalama nchini humo.
Vyombo vya usalama nchini Ujerumani katika miezi hii walianza msako mkubwa wa kuwakata watu wanaunga mkono vikundi vya kigaidi katika sehemu mbalimbali nchini humo.
Kikundi cha kigaidi cha Daesh kilifanya mashambulio kadhaa katika nchini mbalimbali za Ulaya ikiwemo Ufaransa,Ujerumani na Ubiliginji, mashambulio ambayo yamepelekea kuuwawa na kujeruhiwa mamia ya wananchi wa nchi hizo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky