• Serikali ya Marekani yadai kuwa Urusi ni kitisho kikubwa kwa utaratibu wa utulivu duniani

  Serikali ya Obama imeifanya Marekani kuwa dhaifu kiasi cha kushidwa kabisa katika siasa zake na nje na za kijeshi, ambapo serikali ya Putin wa Urusi imeonekana kupata nafasi ya juu, huku urusi ikihesabika kama nchi yenye nguvu za kijeshi zaidi ya Marekani. Kushindwa kwa sera za Obama kumfanya rais huyo mwenye asili ya Afrika kuhakikisha anaharibu uhusiano wa Marekani na Urusi kwa gharama yeyote, ambapo kwa sasa amefikisha uhusinao huo kwenye hali ya tahadhari ya vita.

  Endelea ...
 • Obama: vikwazo dhidi ya Iran vinaendelea

  Rais wa jamhuri ya Marekani amebainisha kuwa: makubaliano yaliofanyika na Iran ni njia ya diplomasia iliotumika kuifanya Iran isiweze kutengeza silaha za nyuklia, ambapo makubaliano yaliofanyiaka ni njia bora zaidi kuliko kuiacha Iran itengeze silaha za nyuklia zisiokuwa na mipaka, au kutokea vita nyigine katika ukanda wa mashariki ya kati

  Endelea ...
 • Ujerumani: Tusiitegemee Marekani katika NATO

  Viongozi wa Ulaya walitumia ndimi na vyombo vyao vya habari kumdhoofisha Trump wakati wa kampeni za uchaguzi nchini Marekani, baada ya Trump kushinda wamejikuta wakiwa katika hali ngumu huku wengine wakiwa wakavu na kuonyesha kujipendekeza kwa Trump na wengine wakibaki wameinamisha macho yao chini kwa aibu iliyowafika.

  Endelea ...
 • Trump aikosoa CNN kwa kutoa habari za uongo

  Rais Mteule wa Marekani Donald Trump amefanya mkutano wa kwanza na waandishi wa habari na kuelezea masuala kadhaa juu ya mahusiano yake na Urusi, udhibiti wa kampuni zake, na ujenzi wa ukuta na Mexico.

  Endelea ...
 • Majibu ya Urusi kuhusu kufukuzwa wawakilishi wake yamshusha Obama

  Rais Vladimir Putin wa Urusi ameijibu Marekani kwa kuahidi kutowafukuza wawakilishi wa Marekani kama alivyofanya Obama na badala yake itatumia njia za hekima, hatua hii imeonekana kuonyesha upeo wa hali ya juu ya Putin katika uongozi na Siasa, huku ikimshusha Obama kwa kushawishiwa na kukurupuka kutoa maamuzi mazito ili kuharibu uongozi wa rais Trump ambaye anatarajiwa kuiongoza Marekani kwanzia januari 20.

  Endelea ...
 • Obama awafukuza wawakilishi Urusi, Marekani

  Rais wa Marekani Barack Obama ameamuru kufukuzwa maafisa 35 wa Urusi na kuyawekea vikwazo mashirika ya ujasusi ya Urusi kufuatia madai ya udukuzi wa mitandao ya taasisi za kisiasa katika uchaguzi mkuu wa Marekani, ambapo mgombea wa chama cha Obama ambaye alikuwa akisaidiwa na vyombo vya habari aliangushwa na Trump kupata ushindi mkubwa, baada ya ushindi huo serikali ya Obama ilidai kuwa Urusi ndo ilisababisha ushindi wa Trump.

  Endelea ...
 • Urusi yatoa onyo kwa Marekani kuhusu vikwazo

  Wizara ya mambo ya nchi za nje ya Urusi imesema iwapo Marekani itaiwekea vikwazo vipya nchi hiyo kufuatia madai ya Urusi kufanya udukuzi na kuingilia mchakato wa kampeni za uchaguzi ndani ya chama cha Democratic basi hatua hiyo itakua jaribio la kujaribu kuvuruga uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.

  Endelea ...
 • Marekani yaikosoa Israel kuhusu dhulma zake kwa wapalestina

  Waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ameonyesha kuikosoa Israel kwa kuendelea na mpango wake wa ujenzi wa makazi kwenye ardhi ya wapalestina, na kumtuhumu waziri mkuu Benjamin Netanyahu kuiburuza nchi hiyo kutoka kwenye demokrasia, ingawa kukosoa huko ni kwa maneno tu.

  Endelea ...
 • Marekani yatumia Umoja wa Mataifa kuishinikiza Syria kuacha kushambulia magaidi

  weledi wa mambo wanauliza kwanini vikao vya dharura kama hivi havifanyiki kuokoa maisha ya wananchi wanaouawa huko Yemen, Iraq, Palestina na Nigeria? Allepo kuna nini hasa mpaka Marekani na washirika wake wasimame kidete kuomba vita visimamishwe? Je ni kweli Marekani ambayo majeshi yake yamefanya mauaji makubwa katika nchi mbalimbali ina hofia usalama wa wananchi wa Allepo Syria? Majibu ya maswali haya hayahitaji utaalamu, bali yanahitaji fikra kidogo tu.

  Endelea ...
 • Marekani yaipigia magoti Urusi ishawishi serikali ya Syria iache kushambulia magaidi

  Wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanasema kuwa kunauwezekano kukawepo wanajeshi wa Marekani katika mji huo ambao walikuwa wakisaidia makundi ya kikaidi katika harakati chafu za kuiangusha serikali ya Syria, baada ya makundi ya magaidi kuelemewa serikali ya Marekani na washirika wake, wajikuta wakiwa katika kipindi kigumu huku wengine wakitumia njama za kale za kuomba vita vizimamishwe ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kupelekwa katika mji wa Allepo, ikiwa kama njia ya kutorosha watu wao muhimu waliozingirwa katika mji huo.

  Endelea ...
 • Hatimaye Shujaa Fidel Castro azikwa, raia wamlilia

  Baada ya wiki za kutoa rambirambi na maandamano ya umma, majivu ya Castro yatazikwa katika eneo la makaburi la Santa Ifigenia mjini Santiago de Cuba, mji ulioko mashariki mwa nchi hiyo , ambako hatua za mapinduzi zilianzishwa zaidi ya nusu karne iliyopita.

  Endelea ...
 • Shujaa Fidel Castro afariki dunia + Picha

  Shujaa, mwana mapinduzi na Kiongozi maarufu wa Cuba Fidel Castro amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90. Mwanamapinduzi huyo ameacha historia kubwa ya kupambana na udikteta na kupigania haki, ambapo serikali ya Marekani ilifanya majaribio mengi ya kumuua lakini haikufanikiwa na badala yake wakaiadhibu Cuba kwa kuiwekea vikwazo serikali ya Cuba na kuzuia mali za nchi hiyo zilizokuwa katika mabenki lakini pia haikukubali kuisujudia Marekani.

  Endelea ...
 • Umoja wa mataifa waitaka Marekani kumaliza vita Syria

  Marekani na washirika wake wanaodhamini magaidi wamejikuta wapo katika kipindi kigumu baada ya rais mpya wa Marekani kuahidi kutoendelea kuunga mkono magaidi na badala yake kushirikiana na Urusi, Iran na Syria katika kupambana na magaidi wanaodhaminiwa na serikali ya Obama, umoja wa Ulaya na washirika wao kutoka nchi za kiarabu zikiongozwa na Saudia arabia.

  Endelea ...
Prophet's birthday celebrations
بی کفایتی آل سعود
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky