• Trump apandikiza chuki dhidi ya mataifa ya kiislam

  Hotuba ya Trump katika mji wa Riyadh nchini Saudi Arabia ilikuwa na lengo la kupandikiza chuki na kuchochea matatizo katika nchi za kiislamu, ambapo amejitahidi kutia chuki kwa mataifa ya kiarabu dhidi ya jamhuri ya kiislam ya Iran.

  Endelea ...
 • Rais wa Venezuela akemea dhulma dhidi ya serikali

  Rais Nicolas Maduro amefaunanisha udhalilishaji wanaofanyiwa maafisa wa serikali yake na familia zao nje ya nchi hiyo na mateso waliyotendewa Mayahudi na utawala wa Hitler, akiapa kuendelea kupambana kutetea haki.

  Endelea ...
 • Uturuki yachukiwa na unafiki wa Marekani

  Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amepinga uamuzi wa kinafiki wa Marekani kuwapa silaha wanamgambo wa Kikurdi nchini Syria katika harakati zao za vita dhidi ya serikali halali ya Syria.

  Endelea ...
 • China yatoa onyo kali kwa Marekani kuhusu Korea kaskazini

  serikali ya China imetoa onyo kali kwa Marekani kutokana na Marekani kutumia mgogoro wa Kora kaskazini kama kisingizio cha kusogeza majeshi yake karibu na mipaka ya nchi hiyo, ambapo China imeahidi kufanya mashambulizi makali endapo Marekani na washirika wake watafanya ujinga wowote.

  Endelea ...
 • Korea kaskazini yatangaza vita na Marekani

  Korea kaskazini imetangaza vita na Marekani baada ya kufanya jaribio la kombora huku Korea ya kusini na jeshi la Marekani zimesema, kuwa imekaidi onyo la Marekani na,China, zilizojaribu kwa miaka kadhaa kudhibiti mpango wa silaha wa nchi hiyo.

  Endelea ...
 • Marekani yawawekea vikwazo wanasayansi wa Syria

  Licha ya serikali ya Marekani kukosa ushahidi kuwa serikali ya Syria ilitumia silaha za Sumu, majeshi ya Marekani yakidhaminiwa na mataifa ya kiarabu yalishambulia kambi ya jeshi ya Syria na sasa serikali ya Marekani imewawekea vikwazo vya kidhalimu wafanyakazi zaidi ya 270 wa shirika la serikali ya Syria linalotuhumiwa kwa uundaji wa silaha za sumu, wiki kadhaa baada ya kutuhumiwa kufanya mashambulizi ya gesi ya sumu katika jimbo la Idlib.

  Endelea ...
 • Makamu rais wa Marekani aionya Korea kaskazini

  Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence ameihakikishia Japan kuwa Marekani inasimama kwa asilimia 100 nyuma yake mshirika mkuu katika eneo la Asia katika juhudi za kuzuia kile alichodai kuwa ni kitisho kutoka Korea kaskazini.

  Endelea ...
 • Marekani kutuma tena wanajeshi Somalia

  Marekani iliondoka Somalia baada ya mwaka 1993 wakati helikopta zake mbili zilipodunguliwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu na maiti za wanajeshi wake kuburuzwa na kupitishwa katika mitaa ya mji huo wa Mogadishu.

  Endelea ...
 • Marekani yaishambulia Syria kwa makombora, Urusi na Iran za laani shambulizi hilo

  Majeshi ya Marekani yamerusha makombora zaidi ya 50 katika moja ya kambi ya jeshi la anga nchini Syria, baada ya kambi hiyo kudaiwa bila ya ushahidi kuwakushambulia magaidi wanaodhaminiwa na Marekani nchini Syria. Wachambuzi wanasema kuwa Marekani imeshambulia kambi hiyo kulipa kisasi kwa ndege za Israel zilizokuwa zinasaidia magaidi zilizodunguliwa na majeshi ya Syria.

  Endelea ...
 • Serikali ya Iran yapinga madai ya Marekani kuhusu ugaidi

  Serikali ya Jamhuri ya kiislam ya Iran leo hii imepinga vikali madai yaliyotolewa na waziri wa ulinzi wa Marekani James Mattis kwamba Iran ilikuwa ni msambazaji wa kwanza wa ugaidi na kusema chanzo kikuu cha ugaidi ilikuwa ni Saudi Arabia ambao ni washirika wa karibu wa Marekani, ambapo Marekani na Saudia arabia wanashirikiana kutuma magaidi nchini Syria, Iraq na Yemen ili kufanikisha malengo yao ya kisiasa.

  Endelea ...
 • Umoja wa mataifa: Iran haitumi misaada ya silaha nchini Yemen

  Kwa mujibu wa ripoti ya wataalamu wa Jumuia ya umoja wa mataifa, ni kwamba serikali ya Jamhuri ya kiislamu ya Iran mpaka sasa haijakiuka maamuzi ya 2231 ya jumuia hiyo, yaliokuwa na dhumuni la kuwa Jamhuri ya kiislamu ya Iran hairuhusiwi kutuma tuma silaha nchini Yemen

  Endelea ...
 • Iran yawekea vikwazo makampuni 15 ya Marekani yanayodhamini magaidi

  Serikali ya Jamhuri ya kiislamu ya Iran imeyawekea vikwazo makampuni 15 ya Marekani ambayo yanaunga mkono hatua za kigaidi zinazofanywa na Israel pamoja na magaidi wa Daesh na makundi mengine ya kigaidi yanayofanya jinai zake nchini Syria chini ya udhamini wa Marekani na washirika wake.

  Endelea ...
 • FBI yachunguza tuhuma za Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani

  Comey aliiambia kamati ya bunge inayohusika na masuala ya ujasusi leo kwamba uchunguzi wa shirika hilo utajumuisha mfumo wa mafungamano yoyote kati ya watu wanaohusihwa na timu ya kampeni ya rais Donald Trump na serikali ya Urusi na ikiwa kulikuwa na uratibu wowote kati ya timu hiyo na shughuli za Urusi.

  Endelea ...
 • Trump kuiondoa Iraq katika nchi zilizopigwa marufuku kuingia Marekani

  Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kuiondoa Iraq katika orodha ya nchi ambazo raia wao wanapigwa marufuku kuingia Marekani. Trump anatarajiwa kutia saini amri mpya leo baada ya awali kupingwa mahakamani. wachambuzi wanasema mabadiliko haya yanakuja ili kuwashawishi viongozi wa Iraq kutangaza kuwa mwamesaidiwa na Marekani katika vita dhidi ya magaidi wa Daesh, jambo ambalo litaficha udhaifu wa Marekani katika vita hivyo ambapo Iran na Urusi zinaongekana kuwa katika nafasi ya mbele katika mapambano dhidi ya magaidi.

  Endelea ...
 • Urusi na China zapinga vikwazo vya kidhalimu dhidi ya Syria

  Urusi na China ambazo zinaunga mkono serikali ya Syria zimepinga kuiwekea Syria vikwazo vya Umoja wa Mataifa kupitia kura ya turufu. Urusi imesema hakuna ushahidi wa kutosha wa kufanya hivyo. Marekani ambayo inasaidia magaidi nchini Syria imelaani vikali hatua hiyo ya Urusi na China.

  Endelea ...
 • Wanahabari wazuiwa kuingia Ikulu ya White House Marekani

  Ikulu ya Rais wa Marekani ya White House imeyazuia mashirika kadhaa makuu ya habari nchini humo kuhudhuria kikao cha wanahabari kilichoendeshwa na msemaji wa Ikulu jana Ijumaa kutokana na mashirika hayo kushiriki katika kusambasa habari za uongo katika kipindi cha uchaguzi.

  Endelea ...
Arba'een
Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky