• Picha za wananchi wa Marekani wakiandamana kupinga dhulma dhidi ya Palestina katika siku ya Quds

  Siku ya Quds ni siku ya Ijumaa ya mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Siku hii iliasisiwa na kiongozi wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran Ayatollah Khomeini kwa ajili ya kutetea haki za wananchi wa Palestina wanaodhulumiwa na Israel inayosaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Uingereza na Marekani na hata baadhi ya mataifa ya kiarabu pia yamekuwa yakishiriki katika kuwakandamiza wapalestina. Siku hii ambayo imeanzishwa na kiongozi wa dhehebu la Shia la kiislamu imepokewa vizuri na madhehebu mengine ya kiislamu na hata dini nyingine.

  Endelea ...
 • Marekani yaendelea kuomboleza mauaji ya watu 50 Orlando

  Mkakati wa kupambana na Ugaidi nchini Marekani unamulikwa upya baada ya kutokea shambulizi baya kabisa lililofanywa na mtu aliyekuwa na bunduki na kusababisha vifo vya watu takriban 50 katika mji wa Orlando hapo jana jumapili. Miili ya mwisho ya watu waliouwawa katika tukio hilo imeondolewa katika klabu ya usiku ya watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja.

  Endelea ...
 • Madokta washauri Olimpiki isifanyike Brazil

  Zaidi ya wataalamu 100 wa afya, wanazuoni na wanasayansi Ijumaa ya jana tarehe 27 mwezi wa 5 mwaka 2016 wametoa wito kuahirishwa michezo ya olimpiki mjini Rio kwa kuwa tukio hilo linaweza kuharakisha kusambaa kwa virusi vya Zika duniani.

  Endelea ...
 • Ujerumani na Marekani kuimarisha vita dhidi ya ugaidi

  licha ya serikali hizo mbili kuwa na ushirikiano katika kuwasaidia magaidi nchini Syria, Ujerumani na Marekani zinataka kuimarisha ushirikiano wao kwenye vita dhidi ya ugaidi kwa kusaini makubaliano maalum baina ya washirika hao wawili wa tangu enzi za Vita vya Pili vya Dunia.

  Endelea ...
 • Venezuela yaimarisha maisha ya wananchi

  Serikali ya Venezuela hapo Jumatatu ya jana 16 mwezi wa 5 mwaka 2016 imejipa madaraka makubwa kuhusiana na usalama, ugawaji wa chakula na nishati chini ya amri ya hali ya hatari itakayodumu kwa takribani siku sitini.

  Endelea ...
 • Marekani na washirika wake waloivamia Libya, wapanga kuondolea vikwazo vya silaha

  Marekani na nchi washirika wame ambao waliiangusha serikali ya Lbya na kusabibisha matatizo, wamepanga kuitaipatia silaha serikali ya Libya inayotambuliwa na jumuiya ya kimataifa kulizuia kundi la kigaidi la Daesh na makundi mengine ya wanamgambo ambayo Marekani na washirika wake hapo kabla walikuwa wanapatia silaha ili kuiangusha serikali ya Muammar Gaddafi.

  Endelea ...
 • Viongozi wa Marekani na Saudia wakutana kujadili hali ya Syria

  Marekani na Saudia arabia na washirika wao wamekuwa wakitoa misaada mbali mbali kwa waasi na magaidi nchini Syria, ili kuiangusha serikali halali ya Syria, jambo linalipingwa vikali na serikali ya Urusi na Iran ambazo zinapinga mauaji yanayofanywa na magaidi hao wanaotumiwa kwa malengo ya kisiasa na kuchafua dini ya kiislamu.

  Endelea ...
 • Marekani na washirika wake wanaopinga serikali ya Syria wafanya kutano leo

  Muungano mpya wa kijeshi ambao unaongozwa na Urusi ambao umekusanya wataalamu wa vita kutoka Iran, wanajeshi wa Syria na wapiganaji wa kundi la Hizbullah umepata mafanikio makubwa dhidi ya makundi ya kigaidi nchini Syria, jambo lililopelekea Muungano wa Marekani na nchi 11 kuuchukia Muungano huo ambao hauungi mkono waasi wala magaidi badala yake unapambana na magaidi wote hata wale ambao Marekani inadai kuwa ni waasi. Urusi imesema haitaruhusu Marekani na washirika wake, wasababishe machafuko nchini Syria kama walivyofanya Libya kwa utawala wa Muamar Gaddafi.

  Endelea ...
 • Usitishwaji mapigano Syria kuanza hivi karibuni

  serikali ya Urusi imesema inatumai usitishaji mpya wa mapigano unaweza kutangazwa wakati wowote ule kuanzia sasa kwa mji wenye mapigano makali wa Allepo nchini Syria ambapo mapigano mapya majeshi ya serikali yanapambana kuwaondoa magaidi wanaoungwa mkono na Marekani na washirika wake.

  Endelea ...
 • Trump, Sanders waibuka na ushindi Indiana

  Njia ya Donald Trump kupeperusha bendera ya chama cha Republican katika uchaguzi wa rais nchini Marekani baadae mwaka huu, imekuwa nyeupe, baada ya hasimu wake mkuu Ted Cruz kujitoa katika kinyanganyiro.

  Endelea ...
 • Marekani yaiomba Urusi isaidie kusimamisha mapigano Syria

  serikali ya Marekani ambayo inaunga mkono upande wa waasi na magaidi nchini Syria imelazimika kuiomba Urusi kusaidia kusimamisha mashambulizi makali yanayofanywa na majeshi ya Syria dhidi ya magaidi wanaungwa mkono na Marekani na washirika wake baada ya magaidi hao kuvunja makubaliano ya kusimamisha vita.

  Endelea ...
 • Maandamano na migogoro yazidi Venezuela

  Rais Maduro amekataa kuitikia shinikizo kutoka upinzani kutaka kura ya maoni kumwondoa madarakani. Maandamano na mizozo ya kisiasa inayochochewa na Marekani inaendelea kuzua hofu. Serikali imepunguza idadi ya siku za kazi kuwa 2 pekee kila wiki.

  Endelea ...
 • Obama fanya ziara Ujerumani

  Rais wa Marekani Barack Obama anatarajiwa kuwasili mjini Hanover, nchini Ujerumani leo Jumapili ya leo tarehe 24 mwezi wa 4 mwka 2016 na kuwa na mazungumzo na kansela wa Ujerumani Angela Merkel.

  Endelea ...
 • Waziri wa ulizi wa Marekani azuru Iraq

  Marekani inaongoza muungano wa kimataifa ambao umefeli kunaendesha mashambulizi ya anga dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh na pia inatoa mafunzo na msaada mwingine kwa vikosi vya waasi na magaidi nchini Syria ili kuiangusha serikali ya Bashar asad.

  Endelea ...
 • Rais wa Marekani kuzuru Saudi Arabia

  Rais wa Marekani, Barack Obama ambaye nchi yake inashirikiana na Saudia arabia katika kuwasaidia waasi na Magaidi nchini Syria, wiki ijayo atamtembelea Mfalme Salman wa Saudi Arabia na viongozi wengine mjini Riyadh ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kurekebisha mahusiano hasi kati ya nchi hizo mbili zinazofungamana.

  Endelea ...
Arba'een
Mourining of Imam Hossein
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky