Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuvunjia heshima msikiti ambao bado unajengwa katika mji wa Frankfurt, Ujerumani Jumanne.
Endelea ...-
-
Uhispania yajaribu kudhibiti hali ya utengano wa Catalonia
Oktoba 28, 2017 - 7:23 PMSerikali kuu ya Uhispania imedhibiti hatamu za uongozi wa jimbo la Catalonia, imewapokonya nyadhifa zao viongozi wa serikali iliyoasi, siku moja baada ya wabunge kutangaza uhuru wa jimbo hilo tajiri,
Endelea ... -
Uhispania yajiangaa kuitawala Catalonia moja kwa moja
Oktoba 27, 2017 - 10:14 PMMkuu Uhispania amelihutubia bunge Ijumaa kabla kura itakayoamua kutolewa mamlaka ya kikatiba, yatakayoidhinisha kuchukuliwa kwa mamlaka ya jimbo la Catalonia, katika harakati za kusitisha eneo hilo kupata uhuru.
Endelea ... -
Catalonia yatangazwa kuwa nchi huru
Oktoba 27, 2017 - 10:08 PMUhispania imekumbwa na matetemeko mawili ya kisiasa kwa wakati mmoja. Bunge la Catalonia limepiga kura kuanzisha mchakato wa uhuru, huku serikali kuu ya Uhispania ikipata mamlaka ya kulitawala moja kwa moja.
Endelea ... -
Magaidi 5600 wa Daesh kutoka ktikia nchi 33 duniani warejea katika mataifa yao
Oktoba 26, 2017 - 10:30 PMMagaidi 5600 wa kikundi cha kigaidi cha Daesh kutoka katika mataifa 33 ulimwenguni wamerudi katika mataifa yao, huku mataifa hayo yakiwa na mashaka yakuwa magaidi hao wanaweza wakafanya uharifu katika mataifa yao
Endelea ... -
Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimetoa kauli ya pamoja kunako muafaka wa nyuklia ya Iran
Oktoba 14, 2017 - 9:38 PMUfaransa, Ujerumani na Uingereza zimetoa kauli ya pamoja na kutangaza kuwa wanahifadhi makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran katika kuhifadhi mafaniko ya mataifa hayo
Endelea ... -
Mogherini: Iran imetekeleza ahadi yake ya makubaliano ya Nyuklia
Oktoba 14, 2017 - 8:21 PMKiongozi wa masuala ya siasa za mambo ya nje katika umoja wa Ulaya ametoa ujumbe wake ikiwa kama jawabu la hutoba ya Rais wa Marekani Donald Trump
Endelea ... -
Rais wa Urusi apanga atangaza safari yake nchini Iran
Oktoba 12, 2017 - 6:00 PMHabari kutoka ikulu ya Urusi zinasema kuwa Rais wa Jamhuri ya Urusi mwaka huu atasafiri kwenda nchini Iran
Endelea ... -
Asilimia 91 ya ardhi ya Syria amekombolewa kutoka kwa Magaidi
Oktoba 6, 2017 - 1:26 PMWizara ya ulinzi na usalama ya Urusi imetangaza kuwa ni asilimia chini ya 10 ya ardhi ya Syria ndio ambayo mpaka sasa hazijakombolewa na ziko chini ya magaidi wa Daesh nchini humo
Endelea ... -
Kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Jabhatun Nusrah azimia
Oktoba 5, 2017 - 5:03 PMWizara ya ulinzi na usalama ya Urusi imetangaza kuwa kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Jabhatun Nusrah nchini Syria amezimia kufuatia shambulio la anga la ndege za kivita za Urusi, ambapo awali alipatwa na majaraha makubwa na hivi sasa amezimia.
Endelea ... -
Israel: Rais wa Syria ndiye mshindi wa vita
Oktoba 3, 2017 - 10:18 PMWaziri wa vita wa Israel akithibitisha ushindi wa Rais wa Syria amesema kuwa kuna safu kubwa ya viongozi wa mataifa ya nchi za kimagharibi na mataifa ya kiislamu, mataifa hayo yote kwa ghafla yanaomba kuwa na uhusiano mwema na serikali ya Syria
Endelea ... -
Moscow: hakuna sababu za msingi za kufanya ukaguzi wa vituo vya kijeshi vya Iran
Septemba 30, 2017 - 4:02 PMWizara ya mambo ya nje ya Urusi imetangaza kuwa: wamarekani wanapaswa wapetie upya vipengele vya makubaliano ya Nyukilia na Iran, ili wafahamu vizuli vipengere vya makubaliano hayo
Endelea ... -
Habari picha/ maombolezo ya mauaji ya Imam Husein (a.s) mjini London
Septemba 27, 2017 - 1:11 AMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: maomboilezo ya kuadhimisha mauaji ya kikatili yaliofanywa dhidi ya Mjukuu wa mtume Muhammad (s.a.w.w) yanaendelea kufanywa nchini Uingereza, ambapo Waislamu na waumini wa Shia wamejumuika pamoja wakikumbuka yaliojiri katika viwanja vya Karbala ambapo Imam Husein (a.s) mjukuu wa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) aliuliwa katika sehemu hiyo mnamo mwaka wa 61 A.H, waombolezaji hao, wameomboleza msiba huo katika kituo cha Kiislamu cha London nchini Uingereza
Endelea ... -
Maombolezo ya Imam Husein Duniani: Finland
Habari picha/ maombolezo ya kifo cha Imam Husein katika mji wa Helsinki
Septemba 25, 2017 - 4:29 PMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: kufuatia kuandama kwa mwezi wa Muharram, mwezi wa majonzo na masikitiko kwa Waislamu kwa kuuwawa kikatili kwa Imam Husein (a.s) mjukuu wa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) katika mji wa Karbala mnamo mwaka wa 61 A.H, wafuasi wa madhehebu ya AhlulBayt (a.s) nchini Finland wameanza kufanya maombolezo hayo nchini humo.
Endelea ... -
Ufaransa yaishauri Marekani kuheshimu mkataba wa nyuklia ya Iran
Septemba 20, 2017 - 1:10 AMUfaransa imetoa wito mpya kwa Marekani juu ya kuendelea kuwepo kwa mkataba wa nyuklia wa Iran, katika makubaliano yaliyofikiwa mwaka 2015
Endelea ... -
Marekani na Urusi zaujadili mzozo wa Syria
Septemba 19, 2017 - 2:12 AMWaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson amekutana na waziri mwenzake wa Urusi Sergei Lavrov na wamejadiliana kuhusu mzozo wa Syria, masuala ya Mashariki ya Kati pamoja na makubaliano ya kurejesha amani Ukraine.Tillerson na Lavrov wamekutana jana mjini New York,
Endelea ... -
Kambuni za China na Urusi zawekewa vikwazo na Marekani
Agosti 23, 2017 - 9:31 AMSerikali ya Marekani imepanga kuviwekea vikwazo baadhi ya kampuni za Urusi na China kwakile kilichotajwa kuwa vimesaidia kufanikisha mpango wa nyuklia wa Korea ya kaskazini
Endelea ... -
Mitungi 120 ya gesi yakufanyia matukio ya kigaidi yagunduliwa mjini Barcelona Ispania
Agosti 21, 2017 - 11:06 AMJeshi la Polisi la Ispania latangaza kugundua zaidi ya mitungi 120 ya gesi katika nyumba moja iliopo sehemu ya Alcanar, ambapo vikundi vya kigaidi vilikuwa vinalenga kuitumia gesi hiyo katika kufanya matukio ya kigaidi katika mji wa Barcelona
Endelea ... -
Mtu mmoja ashambulia watu 8 kwa kisu kaskazini mwa Urusi+ picha
Agosti 20, 2017 - 10:46 AMMtu mmoja katika mji wa Surgut kaskazini mwa Urusi amewashambulia watu wanane kwa kikusi na kuwajeruhi vibaya
Endelea ... -
Watu kadhaa wajiruhiwa kwa silaha baridi nchini Finland+ picha
Agosti 19, 2017 - 10:16 AMMtu moja aliokuwa na kisu amewajeruhi watu kadhaa katika mji wa Durga nchini Finland
Endelea ... -
Zaidi ya wabunge 100 wa Uingereza wakemea makala ya kudhalilisha Uislamu
Agosti 18, 2017 - 12:14 AMWabunge zaidi ya 100 wa Bunge la Uingereza kutoka vyama na vikundi mbalimbali vya kisiasa, wamesambaza barua inayokemea makala iliochapishwa na gazeti la The Sun inayo dhalilisha Uislamu
Endelea ... -
Rais wa Uturuki aandaa safari yakwenda Iran
Agosti 17, 2017 - 10:24 PMRais wa Jamhuri ya Uturuki tarehe 11 mwezi wa tisa atakuwa na safari ya kwenda nchini Iran akiwa pamoja na viongozi wakuu wa nchi hiyo
Endelea ... -
Mkuu wa majeshi ya Iran awasili mjini Ankara Uturuki
Agosti 16, 2017 - 10:46 AMKiongozi mkuu wa majeshi nchini Iran akiwa pamoja na makamanda wa jeshi la Ardhi wawasili Ankara mji mkuu wa serikali ya Uturuki
Endelea ... -
Wanajeshi wawili wa Uturuki wapoteza maisha baada ya bomu kuripuka
Agosti 13, 2017 - 11:54 AMWanajeshi wawili wa jeshi la Uturuki wamepoteza maisha kufuatia kuripuka bomu liliokuwa limetengezwa kienyeji kusini mwa mashariki ya taifa hilo
Endelea ... -
Serikali ya Uturuki yajenga ukuta katika sehemu wanayopakana na Iran+ picha
Agosti 10, 2017 - 2:35 AMSerikali ya Uturuki imekususdia kujenga ukuta kwaajili ya kuzuia kuingia magaidi na wahalifu nchini humo ambapo ukuta huo unajengwa katika sehemu inayopakana nchi hiyo na Iran
Endelea ... -
Magaidi 271 wasadikiwa kurudi nchini Ufaransa wakitoka Iraq na Syria
Agosti 7, 2017 - 1:48 AMMagaid wa Daesh 271 kutoka sehemu mbalimbali nchini Iraq na Syria wasadikiwa kurudi nchini kwao Ufaransa huku majeshi ya ulinzi ya nchi hiyo kuimarisha ulinzi vizuri
Endelea ... -
Kamanada wa kikoso maalumu cha wanawake wa Daesh aenguliwa
Julai 30, 2017 - 1:04 AMUmu Yasir Almuhajir ambaye ni kamanda na kiongozi wa kikosi cha wanawake katika kikundi cha kigaidi cha Daesh “maarufu kama Alhusana” aenguliwa katika nafasi hiyo kwa kosa la kuto tekeleza amri ya mkuu wa kikundi hicho cha kigaidi nchini Iraq
Endelea ... -
Watalii wawili wa Ujerumani wauliwa nchini Misri
Julai 15, 2017 - 11:24 PMKijana mmoja wa Misri ameuwa watu watalii wawili wanao sadikiwa kuwa ni wananchi wa Ujerumani, ambapo tukio hilo limetokea katika moja ya Hotel ziliopo nchini Misri
Endelea ... -
Uingereza kuchukua hatua kali dhidi ya ugaidi
Juni 5, 2017 - 1:43 AMWaziri Mkuu wa Uingereza Theresa ametowa wito wa kuwapo kwa hatua kali zaidi kupambana na makundi ya kigaidi kufuatia shambulio kwa kutumia gari na visu mjini London.
Endelea ... -
Urusi na Ufaransa zajadili mustakabali wa Syria
Mei 31, 2017 - 1:28 AMRais Emmanuel Macron wa Ufaransa alimkaribisha mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, mjini Paris katika mazungumzo yaliyomalizika jana jioni, ambayo baadaye Macron alisema yalikuwa ya kuelezana ukweli wote.
Endelea ...