Rais Petro Poroshenkowa Ukraine ameishutumu Urusi kwa uvamizi, wakati taifa hilo likiadhimisha miaka 25 ya uhuru wake.
Endelea ...-
-
Ukraine yadai kuvamiwa na Urusi wakati ikiadhimisha miaka 25 ya Uhuru wake
Agosti 25, 2016 - 2:31 AMRais Petro Poroshenkowa Ukraine ameishutumu Urusi kwa uvamizi, wakati taifa hilo likiadhimisha miaka 25 ya uhuru wake.
Endelea ... -
Viongozi wa Ujerumani,Ufaransa na Italia wakutana kujadili ugaidi
Agosti 23, 2016 - 2:30 AMViongozi wa Ujerumani, Ufaransa na Italia wamekutana Jumatatu ya jana tarehe 22 mwezi wa 8 mwaka 2016 kujadili mustakbali wa Umoja wa Ulaya kufuatia kujitoa kwa Uingereza na mzozo wa wahamiaji na ugaidi uliolikumba bara hilo.
Endelea ... -
Ujerumani kutumia tekinolojia ya kisasa kuwatambua washukiwa wa ugaidi
Agosti 22, 2016 - 1:53 AMWaziri wa mambo ya ndani nchini Ujerumani Thomas de Maiziere ametoa mwito wa kuanzishwa kwa matumizi ya teknolojia ya kisasa ya kutambuwa sura kwenye vituo vya treni pamoja na viwanja vya ndege
Endelea ... -
Kijana wa umri wa miaka 12 ahusishwa na shambulizi nchini Uturuki
Agosti 22, 2016 - 1:49 AMRais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema mtoto mwenye umri wa miaka 12 anahusika na shambulio la kujitoa muhanga
Endelea ... -
Mripuko wauwa 50 katika sherehe ya harusi Uturuki
Agosti 22, 2016 - 1:46 AMTakriban watu 50 wameuwawa Jumamosi(20.08.2016) wakati anayetuhumiwa kuwa mripuaji wa kujitowa muhanga alipojiripuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakicheza ngoma mtaani wakati wa sherehe ya harusi kusini mwa Uturuki.
Endelea ... -
Jeshi la Ujerumani kuanza Mazoezi ya kupambana na ugaidi
Agosti 21, 2016 - 1:38 AMMazoezi kwa ajili ya kuwatumia ndani ya nchi wanajeshi wa Ujerumani yanaweza kuanza mwezi wa Novemba na kuwashirikisha pia polisi yakiwa mazoezi ya kwanza ya aina yake kupambana na ugaidi.
Endelea ... -
Ujerumani yapiga Marufuku hijabu za kufunika Uso
Agosti 19, 2016 - 8:46 PMWaziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani, Thomas de Maiziere, ameunga mkono kupiga mafuruku vazi linaloziba uso linalojulikana kama Burqa, kwenye sehemu za umma na majengo ya serikali
Endelea ... -
Rais wa Urusi atoa onyo kali kwa Ukraine
Agosti 19, 2016 - 8:31 PMRais wa Urusi, Vladmir Putin amesema ana imani Ukraine itatumia akili linapokuja suala la kutatua mzozo wa kidiplomasia na Urusi
Endelea ... -
Serikali ya Uturuki yaitaka Ujerumani ifafanue kauli yake ya uchochezi
Agosti 18, 2016 - 2:27 AMNchi za Ulaya na Uturuki zimekuwa zikishirikiana kuwasaidia magaidi nchini Syria ili waangushe serikali ya Bashar asad, lakini baada ya jaribio lililofeli la mapinduzi dhidi ya serikali ya Uturuki , kumekuwa na sintofahamu kati ya Uturuki na washirika wake wa Ulaya na Marekani, kwani Uturuki inahisi bayana kuwa nchi hizo zilikuwa na mkono katika mapinduzi hayo.
Endelea ... -
Naibu balozi wa Korea Kaskazini aikimbia nchi yake
Agosti 18, 2016 - 2:13 AMNaibu Balozi wa Korea Kaskazini nchini Uingereza ameikana nchini yake na kutorokea Korea Kusini pamoja na familia yake
Endelea ... -
Urusi yaanza mafunzo ya kijeshi kujiandaa na kujibu uchokozi wa nchi za Ulaya
Agosti 16, 2016 - 1:34 AMWizara ya ulinzi ya Urusi imesema jeshi la majini la nchi hiyo limezindua mafunzo ya kijeshi ikiwemo mizinga mikubwa na makombora katika eneo la mashariki mwa bahari ya Mediterenia.
Endelea ... -
Viongozi wa ngazi za juu wa Urusi na Ujerumani kukutana kujadili usalama
Agosti 14, 2016 - 1:35 AMKatika mgogoro wa Syria ujerumani na wenzake wa Ulaya na Marekani wanaunga mkono Upande wa waasi na magaidi ambapo Urusi inaunga mkono serikali ya Syria na huko Ukraine Urusi inaunga mkono waasi na Ujeruman inaunga mkono serikali.
Endelea ... -
Rais wa Urusi akutana na baraza la usalama kuzungumzia jaribio la kigaidi la Crimea
Agosti 14, 2016 - 1:27 AMSerikali ya Ukraine inahofu na wahaka mkubwa kwani inafahamu fika kwamba Urusi ikiamua kujibu uchokozi, nchi za Ulaya na Marekani zitafyata mkia na kuiacha Ukraine kwenye moto usiozimika.
Endelea ... -
Uturuki yaigeuka Marekani na kutaka kushirikiana na Urusi dhidi ya Daesh
Agosti 12, 2016 - 1:16 AMUturuki ambayo ni mshirika mkuu wa Marekani katika kuwasaidia magaidi wa Daesh leo hii imetowa wito kwa Urusi kufanya operesheni ya pamoja na nchi hiyo dhidi ya kundi hilo a kigaidi nchini Syria
Endelea ... -
Rais wa Ukraine ataka mazungumzo na Putin
Agosti 12, 2016 - 1:12 AMMpaka sasa viongozi wa Ukraine wanakosa usingizi kwani wanajua fika kuwa Urusi itatoa jibu kali kufuatia uchokozi huo, lakini hawajui jibu hilo litatioka lini na litakuwa vipi.
Endelea ... -
Urusi yazima majaribio ya mashambulizi ya kigaidi Crimea
Agosti 11, 2016 - 1:51 AMShirika la Usalama la Urusi limesema limezima "mashambulizi ya kigaidi" katika mkoa wa Crimea, ambayo linasema yamepangwa na majasusi wa kijeshi wa Ukraine ambayo inaungwa mkono na Marekani na washirika wake wa Ulaya.
Endelea ... -
Mtuhumiwa mwingine wa ugaidi akamatwa Ujerumani
Agosti 11, 2016 - 1:48 AMMtu mmoja anayeshukiwa kuwa mwanachama wa kundi la kigaidi linaloungwa mkono na Saudia Arabia, Marekani na washirika wao lijiitalo Dola la Kiislamu au Daesh ametiwa mbaroni nchini Ujerumani leo hii
Endelea ... -
Uturuki yaahidi ushirikiano na Urusi
Agosti 11, 2016 - 1:37 AMRais Vladimir Putin wa Urusi na mwenzake wa Uturuki Recep Erdogan jana tarehe wameahidi kuimarisha uhusiano wao baada ya mkutano wao wa kwanza tangu Uturuki ilipoiangusha ndege ya Urusi Novemba mwaka jana.
Endelea ... -
Rais wa Uturuki aelekea Urusi kuomba msamaha baada ya kutupwa na Ulaya
Agosti 9, 2016 - 9:30 PMUturuki ilidungua ndege ya Urusi iliyokuwa ikipambana na magaidi wa Dola la Kiislamu au Daesh ambao wanauhusiano wa karibu na Uturuki, Marekani, Saudia Arabia na Israel, Urusi ilitoa adhabu kali ya vikwazo vya kiuchumi kwa Uturuki, lakini marafiki wa Uturuki waliiacha Uturuki ikiwa kwenye matatizo bila ya kuisaidia tofauti na matarajio ya uturuki kwa washirika hao.
Endelea ... -
Askari wawili wa kike wajeruhiwa kwa panga nchini Ubeligiji
Agosti 7, 2016 - 1:36 PMUlinzi umeimarishwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Brussels kufuatia mashambulizi mawili katika mji huo ya mwezi Machi mwaka huu moja katika uwanja wa ndege na lingine katika njia ya treni zinazopita chini ya ardhi ambapo watu 32 waliuawa.
Endelea ... -
Ujerumani kuanzisha mazungumzo ya kuimarisha uhusiano na Uturuki
Agosti 7, 2016 - 1:30 PMUjerumani na Uturuki zinashirikiana katika kusaidia kuyapa silaha makundi ya waasi ili kuangusha serikali halali ya Syria.
Endelea ... -
Wanajeshi wawili wa Uturuki wafariki kufuatia shambulio la kigaidi liliofanywa na kikundi cha kigaidi (P.K.K)
Agosti 6, 2016 - 8:08 PMKikundi cha kigaidi cha )P.K.K( kimefanya mashambulio katika kambi ya kijeshi iliopo katika mkoa wa Hakkari nchini Uturuki.
Endelea ... -
Kijana wa miaka 19 ashikiliwa na polisi kwa kufanya mauji kwa kisu
Agosti 4, 2016 - 10:27 PMPolisi ya Uingereza inamshikilia kijana wa miaka 19 kwa tuhuma za mauaji leo baada ya tukio katikati ya jiji la London ambapo aliwachoma visu watu na mwanamke mmoja raia wa alifariki lakini tukio hilo halionekani kwamba linahusika na ugaidi.
Endelea ... -
Afisa wa Umoja wa Mataifa alalamikia Umoja huo kushindwa kutatua mgogoro wa Syria
Agosti 4, 2016 - 10:03 PMAfisa mwandamizi wa shirika la misaada ya kiutu la Umoja wa Mataifa Jan Egeland amelalamikia kushindwa kwa taasisi hiyo ya dunia kufikia malengo yake ya kuleta amani nchini Syria.
Endelea ... -
Msako mkali dhidi ya wafuasi wa Gulen Uturuki waendelea
Agosti 3, 2016 - 11:38 PMPolisi Uturuki wamevamia ofisi za baraza la kitaifa la utafiti wa kisayansi hii leo na kuwakamata watu chungu nzima kwa mujibu wa ripoti zilizotolewa hivi punde na kituo cha televisheni nchini humo cha NTV.
Endelea ... -
Misikiti 20 yafungwa nchini Ufaransa kwa madai ya inaeneza fikra za kigaidi
Agosti 2, 2016 - 11:33 PMWaziri wa mambo ya ndani nchini Ufaransa amesema kuwa: mpaka sasa tumefunga misikiti 20 na sehemu ya kusalia ambazo zinadaiwa kwamba katika sehemu hizo hutumika kueneza fikra za kigaidi
Endelea ... -
Uturuki yasisitiza Marekani imrejeshe aliyepanga mapinduzi
Agosti 2, 2016 - 2:25 PMUturuki kwa mara nyingine imeitaka Marekani kumrejesha nyumbani hasimu wa Rais Recep Tayyip Erdogan Sheikh Fethullah Gulen aliye uhamishoni Marekani ambaye anashutumiwa kuhusika katika jaribio la mapinduzi ya serikali lililotibuka mwezi uliopita.
Endelea ... -
Papa Francis: Si sahihi kuuhusisha Uislamu na ugaidi
Agosti 2, 2016 - 2:18 AMUislamu sio dini ya matumizi ya nguvu na ni wafuasi wake wachache tu ndio waliokumbatia itikadi kali,
Endelea ... -
Makomandoo waliojaribu kumteka rais wa Uturuki wakamatwa
Agosti 2, 2016 - 2:15 AMVikosi maalum vya Uturuki vimekiteka kikundi cha makomandoo waasi waliojaribu kumteka au kumuuwa Rais Recep Tyyip Erdogan wakati wa jaribio la mapinduzi lililoshindwa.Ndege zisizotumia rubani
Endelea ...