Uropa

Malkia wa Uingereza aadhimisha miaka 60 ya utawala wake

  • Habari NO : 319803
ABNA inatauarifu kuwa:Malkia Elizabeth 11 wa Uingereza jana aliongoza msafara wa boti katika mto Thames kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 60 tangu awe malkia nchini humo

Malkia Elizabeth ambaye ana umri wa miaka 86 hivi sasa aliongoza boti 1000, ukiwa ni msafara mkubwa zaidi kushuhudiwa katika mto Thames tangu utawala wa mfalme Charles mwaka 1662.  yafaa kuashiria kwamba:Malkia Elizabeth amekuwa mmoja ya Malkia walio kaa katika kiti cha ungozi kwa muda mrefu kuliko viongozi wote duniani.


بی کفایتی آل سعود
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky