Picha waislamu wa Uturuki wakiomboleza kifo cha mjukuu wa mtume Muhammad

  • Habari NO : 785349
  • Rejea : abna.ir
Brief

Hizi ni picha za waislamu wa dhehebu la shia wakiomboleza tukio la kifo cha Husein ambaye ni mjukuu wa mtume Muhammad s.a.w aliyeuawa na maswahaba waovu wa mtume huyo mnamo mwaka wa 61 hijria sawa na mwaka 680.


Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky