Viongozi wa Korea Kaskazini na Kusini wamefanya mazungumzo yakimyakimya Jumamosi baada ya Rais Donald Trump kufuta mazungumzo kati yake na Kim na kisha kusema yanaweza kuendelea kama ilivyopangwa.
Endelea ...-
-
Qatar yazuia kuuza na kununua bidhaa za Saudia, Bahrain, Misri na Emirates
Mei 27, 2018 - 8:06 PMWizara ya uchumi na biashara nchini Qatar imezuia rasmi kuuza na kununua bidhaa zilio tengenezwa katika nchi za Saudi Arabia, Emirates, Misri na Bahrain katika vituo vyote vya biashara nchini humo
Endelea ... -
Saudi Arabia na washirka wake waache kuzuia vyakula kuingia Yemen
Mei 26, 2018 - 8:08 PMMmoja miongoni mwa viongozi wa umoja wa mataifa ameitaka Saudi Arabia na washirika wake waliovamia Yemen waache kuzuia kuingia kwa vyakula na mafuta kupitia bandari mbalimbali za kibiashara nchini humo
Endelea ... -
Muumini na muadhini wa msikiti achinjwa nchini Algeria+ picha
Mei 25, 2018 - 3:20 PMBaada ya siku tano ya kuingia mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Algeria muumini mmoja ambaye alikuwa muadhini wa msikiti mmoja nchini humo ameonekana amekatwa kichwa
Endelea ... -
Iran yapinga vikali masharti ya Marekani
Mei 24, 2018 - 11:06 AMJamhuri ya kiislamu ya Iran imesisitiza kupinga masharti kutoka Marekani ya kuacha kabisa mpango wa nyuklia, kuacha kupambana na magaidi nchini Syria na kuacha kusaidia Lebanon, na nchi nyingine za kiarabu, huku serikali ya Syria, ikitupilia mbali wito wa Marekani kuviondoa vikosi vya Iran nchini humo.
Endelea ... -
Indonesia yazuia rasmi kuingiwa waisrael nchini humo
Mei 23, 2018 - 8:06 PMMsemaji wa wizara ya mambo ya nje wa utawala haramu wa Israel ametangaza kuwa utawala wa Indonesia wametangaza rasmi kuto waruhusu Waisrael kuingia nchini humo kufuatia mauaji wanayo yanayofanwa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina
Endelea ... -
Msaidizi wa Angela Merkel nchini Ujerumani aomba kurasimishwa Uislamu nchini humo
Mei 22, 2018 - 3:46 PMMsaidizi wa kiongozi mkuu wa Ujerumani katika chama cha Democrati cha Kikristo kwa mara nyingine tena kimeomba kurasimishwa kwa dini ya Kiislamu nchini Ujerumani kama ilivyo rasimishwa dini ya Kikristo
Endelea ... -
Israel: Iran ni lazima itoke nchini Syria
Mei 22, 2018 - 1:06 PMWaziri mkuu wa utawala haramu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema: Iran inatakiwa iache kurutubisha yureniam kwakuwa haitajii kufanya hivyo kadhalika inatakiwa iondoke nchini Syria
Endelea ... -
Ankara: Misri na Israel wazuia kuamisha majeruhi wa Palestina
Mei 17, 2018 - 7:09 PMUturuki imetangaza kuwa kulikuwa na utaratibu kuwa ndege zozote zinazotaka kuwaamisha majeruhi wa Palistina ni lazima vitumeke viwanja vya ndege vya Misri au Israel, ama mpaka sasa hivi ndege za Uturuki zilioandaliwa kwaajili ya kuchukua majeruhi wa Kipalestina haziruhusiwa kutua katika viwanja vya ndege hivyo
Endelea ... -
Bin Salmani apigwa risasi 2 katika mashambulio yaliotokea Riyadh
Mei 17, 2018 - 6:15 PMShirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Husein Shariatimadari ameandika katika gazeti la Kayhan kuwa, kuna ushuhuda mwingi unaonyesha kuwa siku 30 za kutoonekana kwa Muhammad bin Salman si suala la kawaida, ambapo inaashiria kuwa amepatwa na tukio huku juhudi zikifanyika za kuficha tukio hilo.
Endelea ... -
Kiongozi wa Katoliki akemea machafuko kati ya Israel na Palestina
Mei 17, 2018 - 1:28 PMKiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema ana wasiwasi kutokana na kuongezeka kwa machafuko huko mashariki ya kati baada ya wapalestina zaidi ya 100 kuuawa na majeshi ya Israel.
Endelea ... -
Uturuki yaufukuza ubalozio wa Israel nchi mwake
Mei 16, 2018 - 3:00 PMKufuatia mauaji ya kinyama yanayofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina siku ya Jumatatu, ambapo wezara ya mambo ya nje ya nchi hiyo ilimuita balozi huyo kisha kumtaka aondoke nchini humo
Endelea ... -
Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vyazua taharuki
Mei 14, 2018 - 9:16 AMWaziri wa mambo wa Ujerumani Heiko Maas amesema nchi yake haiwezi kuzuia biashara ili kuepuka adhabu ya Marekani kwa kufanya bishara nchini Iran baada ya nchi hiyo kuiwekea vikwazo vipya Iran.
Endelea ... -
Watu 5 wafa na kujeruhiwa katika tukio la kigaid mjini Paris/ Daesh watangaza kuhusiaka na tukio hilo
Mei 13, 2018 - 1:23 PMKikundi cha kigaidi cha Daesh kimetoa kimetuma ujumbe kupitia shirika la habari la Islamion ambao ni mtandao rasmi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh, kuwa shambulio hilo limefanywa na kikundi cha kigaidi cha Daesh.
Endelea ... -
Waziri wa vita wa Israel atuma ombi kwa Rais wa Syria
Mei 12, 2018 - 11:39 AMWaziri wa ulinzi na vita katika utawala haramu wa Israil amesema: tunamuomba Rais wa Syria haraka iwezekanavyo ayafukuze majeshi ya Iran nchini Syria
Endelea ... -
Israel yaongopa kuhusu kushambuliwa na Iran
Mei 11, 2018 - 3:31 PMKwasasa serikali ya Israel inajaribu kusambaza habari za uongo ili kushawishi mataifa mengine kuunga mkono mashambulizi yake dhidi ya kambi za Iran nchini Syria.
Endelea ... -
Mogherini: Umoja wa Ulaya utaenedelea kushikamana na mapango wa nyuklia wa Iran
Mei 9, 2018 - 6:33 PMMsimamizi wa masuala ya siasa za mambo ya nje katika umoja wa Ulaya amesema: tutaenedelea kushikana na makubaliano ya mpango wa Nyuklia wa Iran
Endelea ... -
kwanini Marekani yavunja mkataba wa nyuklia wa Iran na kuahidi vikwazo vikali
Mei 9, 2018 - 11:40 AMMarekani imeamua kuvunja mkataba huku ikiilaumu Iran kwa kupingana na maslahi ya Marekani ambapo nchini Syria Marekani inaunga mkono Magaidi na Iran inaunga mkono serikali na kupambana na magaidi hao, na huko Yemen Marekani inaunga mkono serikali na Iran inaunga mkono kundi la wahuthi ambalo linapambana na serikali. Na katika vita hivyo vyote Iran imepata ushindi. Maafisa wa Iran wamesema wanatathmini muelekeo wa kadhia hii na kisha watatoa jibu la kutosha hapo baadae. Saudia arabia na Israel wamepongeza uamuzi huo wa Tramp
Endelea ... -
Marekani hatimaye yatoka katika makubaliano ya Nyuklia na Iran
Mei 9, 2018 - 1:43 AMRais wa Marekani atangaza Rasmi kutoka katika makubaliano ya mpango wa Nyuklia wa Iran, huku akisisitiza kuwa ataongeza vikwazo vikali dhidi ya Iran
Endelea ... -
Mauaji ya kinyama dhidi ya mashia wa kijiji kimoja nchini Nigeria+ picha
Mei 9, 2018 - 12:51 AMMakumi ya wakazi wa kijiji cha Guwasika kiliopo katika wilaya ya Kaduna nchini Nigeria wameuwawa kufuata shambulio liliofanywa na watu wauvu wasiojulikana nchini humo
Endelea ... -
Hizbullah yapata ushindi mkubwa katika uchaguzi Lebanon
Mei 8, 2018 - 4:07 PMKatika uchaguzi wa bunge wa nchini Lebanon chama cha Mustakabal cha waziri mkuu Saad al Hariri kinachoungwa mkono na nchi za Magharibi kimepoteza viti vingi katika ngome yake kuu ya kisiasa mjini Beirut. Na badala yake chama cha kisiasa cha Hizbullah kimepata ushindi mkubwa.
Endelea ... -
Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zasisitiza kushikamana na makubaliano ya Nyuklia ya Iran bila ya Marekani
Mei 7, 2018 - 7:58 PMWaziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Ufaransa na Uingereza wamesisitiza kubaki kwako katika makubaliano ya mpango wa Nyuklia ya Iran, hata kama Marekani itajivua katika makubaliano hayo
Endelea ... -
Iran:Marekani itajuta kujitoa mkataba wa nyuklia
Mei 7, 2018 - 2:11 PMRais Hassan Rouhani wa Iran amesema kwamba endapo Marekani itajiondoa kwenye mkataba wa nyuklia kati ya nchi yake na mataifa yenye nguvu duniani, basi Marekani itajutia uamuzi huo maisha yake yote.
Endelea ... -
Jenerali wa Saudia: Iran ni adui zaidi kuliko Israeil
Mei 5, 2018 - 9:45 PMJenerali mmoja wa Saudi Arabia aliyekuwa amestaafu amesema kuwa: utawala wa Kizayuni mpaka sasa hujawahi kufanya tukio lolote dhidi ya serikali ya Saudi Arabia, ama Iran ni adui mkubwa wa Saudi Arabia
Endelea ... -
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa: makubaliano ya nyuklia nilazima yahifadhiwe
Mei 4, 2018 - 3:01 PMKatibu mkuu wa umoja wa Mataifa amesema: makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran ni moja ya makubaliano makubwa ya kidiplomasia hivyo ni lazima yahifadhiwi
Endelea ... -
Watu 30 wauwawa kufuatia shambulio la majeshi ya Marekani
Mei 4, 2018 - 11:57 AMMashambulizi ya ndege za anga za umoja wa kukabilia na Magaidi Daesh chini ya usimamizi wa Marekani, wamefanya mashambulzi katika mkoa Haskah nchini Syria ambayo yamesababisha mauaji ya kuuwawa wananchi 30 wasiokuwa na hatia.
Endelea ... -
Vungamano la Iran na Morocco lasambaratika
Mei 3, 2018 - 12:02 AMSerikali ya Morocco yavunja mahusiano na Serikali ya Iran kwa kile walichokidai kuwa Iran inaunga mkono kikundi cha Polisario front
Endelea ... -
Vyombo vya usalama Kongo vyatuhumiwa kuzuia uchunguzi
Mei 2, 2018 - 4:38 PMTuhuma zinasema kuwa Idara za usalama za Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo zinaingilia uchunguzi kuhusiana na mauaji ya wataalamu wawili wa Umoja wa Mataifa,huku zikiizuwia maafisa wa Umoja wa Mataifa kuwahoji mashahidi muhimu na watuhumiwa.
Endelea ... -
Ndege za Saudi Arabia zashambulia mazishi ya Saleh Sammad+ picha
Aprili 29, 2018 - 12:00 AMNdege za mjeshi vamizi yta Saudi Arabi yamefanya shambulizi pembeni ya maidani ya Sabiini na kusababihswa kuuwawa kwa mwananchi mmoja na wengine kujeruhiwa
Endelea ... -
Israeli yatumia silaha za moto kutawanya waandamanaji
Aprili 28, 2018 - 11:42 PMWanajeshi wa Israeli wamefyatua risasi na kuwaua waandamanaji kwenye hadhara ya Wapalestina waliokuwa wamekusanyika kufanya maandamano katika mpaka wake na Gaza saa chache baada ya Umoja wa Mataifa kuikosoa Israel.
Endelea ...