Muamko wa Kiislamu

Vikwazo dhidi ya utawala haramu wa Israel

  • Habari NO : 310728
  • Rejea : ABNA.ir
Utawala wa Misri umeamua kukata 40% ya matumizi ya Gesi ya utawala haramu wa Israel ambayo hapo kabla Husni Mubarak alikuwa akiwapa wa Israel bure.

Ripoti ya ABNA- Athari za muamko wa Kiislamu kuikumba Israel kwa kukatiwa 40% ya Gesi Nchini humo, 40% hiyo ndiyo iliokuwa akiwasaidia wa Israel kuzalisha umeme, kukatwa 40% hiyo ni mtihami kwa utawala haramu huo kwani walichokua wakipata kipindi cha Husni Mubarak sasa kimewageukia na kuwatoka kinwani.

Shirika la umeme la Israel limeeleza kuwa mnamo siku kadhaa Israel itakumbwa na upungufu wa umeme kwa kukatiwa 40% hiyo ya Gesi.

Bunge la Israel pia lilieleza kunako suala hilo; Kukatiwa Gesi ni hatari kwa Israel kwani 40% hiyo ndio ilikuwa ikitusaidia na kututosheleza katika sekta ya umeme ila sasa 40% hiyo imekatwa siku zijazo tunasubiri maafa Nchini Israel.


Mourining of Imam Hossein
بی کفایتی آل سعود
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky