Afrika

Matokeo ya uchaguzi nchini Misri kutangazwa Juma nne ijayo

  • Habari NO : 317574
  • Rejea : abna
Tume ya uchaguzi nchini Misri yasema kuwa matokeo ya uchaguzi ya uraisi wa nchi hiyo yatatangazwa rasmi juma nne ijayo.

Shirika la Habari la Ahlul Bayt(as) ABNA likitoa habari kutoka Misri kuwa kuna tofauti ya idadi ya watu waloshiriki katika uchaguzi huo, lakini kitu muhimu kinachopaswa kuashiriwa ni umati ulomiminika kusihiriki  katika uchaguzi huo katika mikoa ya Cairo na Iskandaria na mahudhurio ya zaizi ya kati katika mikoa mingine. Hivyobasi kura zimeanza kuhesabiwa usiku wa jana na matokeo yatatangazwa juma nne, nakama hakutakuwa na mgombea alopata asilimia 50 za kura uchaguzi huo utarudiwa tena kwa mara ya pili, na kama italazimika kurudiwa basi utarudiwa baada ya wiki mpili.Tume hiyo ya uchaguzi nayo imesema kuwa matokeo rasmi yanatarajiwa kutangazwa juma nne ijayo.  


Mourining of Imam Hossein
بی کفایتی آل سعود
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky