Afrika

Shafiq ajitangaza kuwa ndiye atakayekuwa Rais wa Misri

  • Habari NO : 317805
  • Rejea : abna
Mmoja kati ya wagombea Urais nchini Misri atangaza kuwa yeye haoni tatizo Serikali hiyo kutawaliwa na Rais kutoka katika chama cha Ikhwanul Muslimin

Ahmad Shafiq amesema: mimi sioni tatizo kutengezwa Serikali ya Misri na kiongozi kutoka katika chama cha Ikhwanul Muslimin  nae ameongeza kusema kwani moja ya sera zangu ni: kuijenga Misri yawote kwasababu Misri inawahusu wamisri wote waliopo nchini.Katika hali ya kubainisha hayo kwanamna fulani aliashiria kuwa yeye ndie mshindi wa uchaguzi huo wa Jamhuri ya Misri, uchaguzi ambao duru ya kwanza ya uchaguzi huo imefikia mwisho bila kupata asilimia zinazohitajika nakupelekea kuweko duru ya pili iatakayo fanyika tarehe 16/6/2012 nchini humo. 


Mourining of Imam Hossein
بی کفایتی آل سعود
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky