Afrika

Mubaraka aamishiwa chumba cha CCU baada ya kuhukumiwa

  • Habari NO : 319466
  • Rejea : abna
Televisheni za kiarabu zimetangaza kuamishiwa Husni Mubaraka(dikteta wa zamani nchini Misri) katika chumba cha uangalizi mkali kimatibabu baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha.

TV za kiarabu zimetangaza kuhamishiwa Husni Mubara katika chumba cha uangalizi mkali wa kimakitibabu (CCU) katika Hospitali ya wafungwa baada ya kutolewa hukumu ya kifungo cha maisha. Mahakama inayosimamia faili la kesi ya Mubaraka na wenzake kwatuhuma ya mauaji ya waandamanaji imetoa hukumu ya kifungo cha maisha kwa Dikteta huyo wazamani adhuhuri ya leo.Baada ya kutolewa huku hiyo hali ya Mubaraka ilizidi kuwa mbaya na kusababishwa kuhamishiwa katika chumba cha uangalizi malumu wa tiba katika Hosoitali ya wafungwa nchini Misri.


بی کفایتی آل سعود
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky