Afrika

Shafiki anausika katika mauaji ya waandamanaji

  • Habari NO : 321550
  • Rejea : abna
Kiongozi wa fijana nchini Misri amesema Shafiq alishiriki katika kumwaga damu za waandamanaji nchini humo.

Taamir Amar mmoja kati ya viongozi wa ofisi ya vijana katika kikundi chama cha Uhuru na Uadilifu nchini Misri amesema Shafiq anahusika katika umwagaji damu wa waandamanaji, katika tukio la uvamizi wa wapanda ngamia (mamluki wa Mubaraka) kuwavamia waandamanaji katika midani ya Tahariri, nae kipindi hicho akiwa ni waziri mkuu wa utawala huo wa kidekteta.Pia aliongeza kusema kuwa viongozi wote waloshiriki katika mauaji ya waandamanaji  ndio wafanya kambeni wakubwa upande wa Ahmad Shafiq.Mwisho alisema Muhammad Mirsi si mgombea wa kikundi cha Ikhwanul Muslimin tu bali ni mgombea wa wanamapinduzi wote. 


بی کفایتی آل سعود
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky