Picha za jeshi la Syria baada ya kuukomboa mji wa Handarat kutoka katika himaya ya magaidi

  • Habari NO : 659027
  • Rejea : abna.ir
Brief

Jeshi la Syria likishirikiana na makomandoo wa Hizbollah wamefanikiwa kuwaangamiza magaidi na kuukomboa mji wa Handarat, magaidi walioponea chupuchupu na kukimbia waliacha wametega mabomu, lakini yote yameteguliwa na jeshi la Syria.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky