Picha za Mashia wakihuzunika kwa kukumbuka siku ya kufariki mtume Muhammad s.a.w

  • Habari NO : 659991
  • Rejea : abna.ir
Brief

Siku chache zilizopita wafuasi wa dhehebu la kiislamu la shia walikuwa wakihuzunika kwa kukumbuka kifo cha Husein bin Ali mjuu wa mtume Muhammad nahapa wanahuzunika kifo cha mtume Muhammad s.a.w. kilichotokea tarehe 8 June 632 sawa na tarehe 28 Safar mwaka wa 12 hijiria


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky