Waislamu wa Nigeria wafanya maandamano kupinga kukamatwa kiongozi wa Mashia

  • Habari NO : 725261
  • Rejea : abna.ir
Brief

Jeshi la Nigeria limevamia makazi ya kiongozi wa Mashia na kuua mamia ya watu katika mji wa Kaduna, na kisha kumkamata kiongozi wa Mashia Sheikh Zakzaki.
jeshi hilo mpaka sasa limeshindwa kutoa maelezo ya kutosha ya sababu ya kufanya mauaji hayo kwa watu wasio na silaha.


Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky