Picha za wananchi wa Thailand wakiandamana kupinga mauji ya jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia

  • Habari NO : 725824
  • Rejea : abna.ir
Brief

Picha za wananchi wa Thailand wakipinga mauji yaliyofanywa na jeshi la Nigeria dhidi ya waislamu wa dhehebu la Shia.
ambapo jeshi hilo lilivamia nyumba ya kiongozi mkuu wa mashia wa Nigeria sheikh Zakizaki na kuwamwagia risasi kwa kila waliyemuona mbele yao.


Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky