Picha wayemen wakiandamana kutetea haki za wapalestina siku ya Quds

  • Habari NO : 763684
  • Rejea : abna.ir
Brief

Siku ya Quds ni siku ya Ijumaa ya mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Siku hii iliasisiwa na kiongozi wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran Ayatollah Khomeini kwa ajili ya kutetea haki za wananchi wa Palestina wanaodhulumiwa na Israel inayosaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Uingereza na Marekani na hata baadhi ya mataifa ya kiarabu pia yamekuwa yakishiriki katika kuwakandamiza wapalestina.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky