Picha za wananchi wa Marekani wakiandamana kupinga dhulma dhidi ya Palestina katika siku ya Quds

  • Habari NO : 763689
  • Rejea : abna.ir
Brief

Siku ya Quds ni siku ya Ijumaa ya mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Siku hii iliasisiwa na kiongozi wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran Ayatollah Khomeini kwa ajili ya kutetea haki za wananchi wa Palestina wanaodhulumiwa na Israel inayosaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Uingereza na Marekani na hata baadhi ya mataifa ya kiarabu pia yamekuwa yakishiriki katika kuwakandamiza wapalestina.
Siku hii ambayo imeanzishwa na kiongozi wa dhehebu la Shia la kiislamu imepokewa vizuri na madhehebu mengine ya kiislamu na hata dini nyingine.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky