Waziri wa uchumi wa Urusi afungwa kwa kupokea hongo

  • Habari NO : 792215
  • Rejea : abna.ir
Brief

Serikali ya Urusi haina mchezo katika kuzuia rushwa na hongo na inachukua hatua kali kwa wahusika, jambo lililopelekea wengi kufurahishwa na uongozi wa rais Putin.

Shirika la habari la ABNA linaripoti kuwa: Waziri wa uchumi na maendeleo wa Urusi Alexey Ulyukayev amewekwa kizuwizini kwa tuhuma za kupokea hongo kuhusiana na makubaliano ya kampuni moja ya mafuta.Anakabiliwa na kifungo cha miaka 15 jela pamoja na faini kubwa, ambayo huenda ikafikia kiasi cha dola milioni 100. Ulyukayev anatuhumiwa kupokea hongo ya dola milioni mbili kwa kutoa tathmini nzuri ya kampuni ya mafuta iitwayo bashneft ili kuwezesha kuchukuliwa na serikali.

Serikali ya Urusi haina mchezo katika kuzuia rushwa na hongo na inachukua hatua kali kwa wahusika, jambo lililopelekea wengi kufurahishwa na uongozi wa rais Putin.

Mwisho wa habari/ 291

 

 


Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky