Mkutano wa kirafiki baina ya maulama wa kisunni na shia na kiongozi wa mapinduzi ya Iran+ picha

  • Habari NO : 798868
  • Rejea : ABNA
Brief

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: maulamaa wa kishia na kisunni walioshiriki katika kikao cha kimataifa cha umoja wa kiislamu, wameonana na kiongozi mwadhamu wa Jamhuri ya kiislamu ya Iran Ayatullah Sayyed Ali Khamenei mjini Tehera, kikao ambacho kinaonyesha hali ya ukuruba baina ya wanazuoni hao.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky