Waziri mkuu wa Israel azuiliwa kutoka nje

  • Habari NO : 804093
  • Rejea : ABNA
Brief

Waziri mkuu wa Israel anatuhumiwa kwa kosa la kuchukua rushwa na zawadi kutoka kwa wafanya biashara wakubwa ambapo kufuatia tuhuma hiyo amezuiliwa kutoka nje ya Israel

Shirika la habari AhlulBayt (a.a) ABNA: jeshi la polisi la Israel wamemzuia kutoka nje ya Israel waziri mkuu wa nchi hiyo kwaajili ya kukamilisha uchunguzi kuhusu faili lake la tuhuma ya rushwa.
Shirka la habari la (Alahad) likinukuu kutoka katika shirika la habari la Israel kuwa limeandika: Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa Israel, amevunja safari yake yakwenda Davos, ambapo sababu ya kuvunja safari hiyo ni kauli ya jeshi la Polisi la Israel kuwa apaswi kutoka nje ya Israel mpaka utakapo kamilika uchunguzi wa faili lake liliopo mikononi mwa polisi hao.
Hivyo kufuatia amri hiyo, waziri mkuu wa Israel ameahidi kuto toka nje ya Israel, kwakile alichokitaja kuwa hataki kurumbana na jeshi la polisi kufuatia kauli hiyo.
Pia Watuhumiwa walio na tuhuma inayofanana na waziri mkuu huyo, nao wameamiriwa kubaki ndani ya Palestina na kuto toka nchini humo.
mwisho wa habari/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Quds cartoon 2018
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky