Picha za Spika wa Bunge la Iran akiwa katika Masjid Kufah Iraq

  • Habari NO : 660446
  • Rejea : abna.ir
Brief

Hizi ni picha za Dr: Ali Larijaniy Spika wa bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akitembelea Masjid ya Sayyidna Ali bin Abitwalib swahaba wa karibu zaidi wa mtume Muhammad s.a.w ambaye pia alikuwa ni mdogo wa mtume Muhammad s.a.w pia Ali bin Abi twalib ndiye mwanaume wa kwanza kuubali uislamu akitanguliwa na Bi Khadija mke wa bwana mtume Muhammad s.a.w.
Dr Larijaniy pia sehemu muhimu za kiislamu zilizoko Iraq.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky