Sherehe za kuzaliwa mtume (s.a.w.w) na Imam Swadiq (a.s) katika mji wa Urumia nchini Iran+ picha

  • Habari NO : 798850
  • Rejea : ABNA
Sherika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: sherehe za kuazimisha mazazi ya kipenzi cha waumini Mtume Muahammad (s.a.w.w) na mjukuu wake Imam Jafari Swadiq (a.s) yafanyika katika mjini wa Urumia na kuhudhuriwa na Hujatul Islam walmuslimina Sayyed Mahdi Quraishiy, viongozi wa serikali ya mji huo pamoja na waumini wa mji wa Urumia nchini Iran, ambapo sherehe hizo zimefanyika katika msikiti mkubwa wa mji huo.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
پیام امام خامنه ای به مسلمانان جهان به مناسبت حج 2016
We are All Zakzaky