Picha za maandamano ya kupinga kudhalilishwa mtume Qum – Iran

  • Habari NO : 665615
  • Rejea : abna.ir
Brief

Hizi ni picha za wanazuoni wa kishia wakipinga na kukemea kitendo cha gazeti la Ufaransa kudhalilisha mtume Muhammad s.a.w. maandamano haya yamefanyika katika mji mtukufu wa Qum katika Jamhuri ya kiislamu ya Iran.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky