Picha za mazishi ya Jeneral wa Iran aliyefariki kwa kushambuliwa na Israel

  • Habari NO : 666189
  • Rejea : abna.ir
Brief

Hizi ni picha za mazishi ya Shahid wa kiiran aliyefariki baada ya Jeshi la Israel kushambulia msafara wa Hizbollah, Shahiid Jeneral Haj Muhammad Ali Allah Dodii, ambaye alikuwa akisimamia amani na kuongoza wapambanaji wa Syria wanaopambana na magaidi wa Daesh. Mazishi ya Shahidi huyu yamefanyika katika kitongoji cha Kerman katika jiji la Tehran Iran. Katika shambulio hilo lililofanywa na Israel wanajeshi 6 wa Hizbollah pia walikufa Shahidi.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky