picha za mazishi ya shahidi aliyekuwa akilinda Haram ya bibi Zainab nchini Syria

  • Habari NO : 666357
  • Rejea : abna.ir
Brief

Hizi ni picha za muumini wa kishia mwenye asili ya Pakistan ambaye alikwenda Syria kupambana kuwazuia magaidi wasiguse na kuharibu sehemu muhimu za Mashia. Shahiid Sayyid Habiib Shah Turi amezikwa katika mji wa Qum – Iran.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky