Picha za jeshi la Pishmarga likiwa mstari wa mbele dhidi ya magaidi wa Daesh

  • Habari NO : 666431
  • Rejea : abna.ir
Brief

Pishmarga ni jeshi la wakurd linalopambana na kundi la kigaidi la Daesh huko Syria na Iraq, kundi hili limepata umaarufu baada ya Oparesheni zake kufauru mara kwa mara, kundi hili linapata msaada mkubwa kutoka kwa majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ujeruman.
Hizi ni picha za jeshi hili likuwa mstari wa mbele likiendelea kupambana na magaidi wa Daesh katika mji wa Musil Iraq.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky