Picha za mfuasi wa dhehebu la Sunni aliye jitoa mhanga kwenye msikiti wa Mashia Saudia Arabia

  • Habari NO : 691519
  • Rejea : abna.ir
Brief

Hii ni picha ya Muislamu wa dhehebu la Sunni wahabia au Salafia, aliyekwenda kujitoa mhanga katika msikiti wa waumini wa kishia ambao walikuwa katika ibada ya Sala ya Ijumaa huko Saudia arabia.

Hii ni picha ya Muislamu wa dhehebu la Sunni wahabia au Salafia, aliyekwenda kujitoa mhanga katika msikiti wa waumini wa kishia ambao walikuwa katika ibada ya Sala ya Ijumaa huko Saudia arabia.

Kijana huyu aliyejitolea mhanga kwa kujilipua bomu na kusababisha vifo vya watu 20 na wengine wengi kujeruhiwa, ana amini kwamba ataingia peponi kwa kuwaua waislamu wenzake.

Mashehe wa dhehebu la Sunni Salafia wamekuwa wakiwadanganya waumini wao kwamba wakiwaua waislamu wa dhehebu la Shia, wanaingia peponi.

Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mahujaji
We are All Zakzaky