Main Title

source :
Jumamosi

12 Novemba 2022

20:22:22
1322535

"Shoka la Ibrahim" lafichua nyaraka za siri za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia

Kikundi cha mtandao kimechapisha maelfu ya hati na nyaraka za siri za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia.

source :
Jumamosi

12 Novemba 2022

20:21:57
1322533

Wazayuni wakasirishwa na uamuzi wa Umoja wa Mataifa wenye maslahi na Wapalestina

Kamati ya Kupambana na Ukoloni ya Umoja wa Mataifa imepasisha muswada wa Kipalestina ambao ndani yake unataka rai na maoni ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuhusiana na hatua ya utawala wa Kizayuni wa israel ya kuendelea kuikalia kwa mabavu Palestina.

source :
Jumamosi

12 Novemba 2022

20:21:18
1322532

Qatar yasisitiza tena kupinga kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel

Serikali ya Qatar kwa mara nyingine tena imesisitiza msimamo wake wa kupinga kuanzisha uhusiano wa kawaida wa aina yoyote ile na utawala wa Kizayuni wa Israel unaofanya mauaji kila leo huko Palestina.

source :
Jumamosi

12 Novemba 2022

20:20:15
1322531

Jenerali Salami: Iran haitafumbia macho jinai za maadui

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitoacha jinai za maadui zipite hivi hivi bila ya kupewa majibu makali.

source :
Jumamosi

12 Novemba 2022

20:19:44
1322530

Amir Abdollahian: Azimio la UN haliizuia Iran kuuza silaha nje ya nchi

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: "Kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama, hakuna marufuku ya kuagiza na kuuza silaha za Iran nje ya nchi, na Tehran haijaipa Russia silaha zozote ili zitumike katika vita vya Ukraine."

source :
Jumamosi

12 Novemba 2022

20:19:21
1322529

Ujerumani yashinikiza kufungwa Kituo cha Kiislamu cha Hamburg

Baadhi ya vyama vya siasa katika serikali ya muungano nchini Ujerumani vimelikabidhi Bunge la Federali la nchi hiyo rasimu ya mpango wa kufungwa Kituo cha Kiislamu cha Hamburg.

source :
Jumamosi

12 Novemba 2022

20:18:49
1322528

UN: Nchi zaidi ya 50 ziko katika hatari ya 'kufilisika'

Mkuu wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) ameonya kuwa, nchi zaidi ya 50 duniani ziko katika hatari ya kufilisika kutokana na mgogoro wa madeni unaozikabili.

source :
Jumamosi

12 Novemba 2022

20:18:16
1322527

Mwandishi akamatwa kwa kuuliza swali kuhusu silaha za maangamizi za Marekani

Swali kuhusu silaha za maangamizi ya umati za Marekani limekuwa sababu ya kukamatwa kwa mwandishi wa habari huko Texas.

source :
Jumamosi

12 Novemba 2022

20:17:44
1322526

Jitihada za kufunga kituo cha Kiislamu cha Hamburg, Ujerumani

Katika juhudi za madola ya Magharibi za kuunga mkono ghasia na machafuko nchini Iran, vyama vya muungano unaotawala nchini Ujerumani vimetoa wito wa kufungwa Kituo cha Kiislamu na Kiutamduni cha Iran katika mji wa Hamburg nchini humo.

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:50:21
1322202

Utawala wa Kizayuni wakataa kukabidhi maiti za Wapalestina 10 waliouawa shahidi

Kamati inayoshughulikia masuala ya Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa utawala huo ghasibu unaendelea kuzuia viwiliwili vya Wapalestina kumi waliouawa shahidi.

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:49:49
1322201

Qatar imewanasa majasusi kadhaa wa Israel raia wa India

Shirika la Intelijensia la Qatar limewakamata maafisa wanane wa zamani wa Jeshi la Wanamaji wa India nchini Qatar wanaoshukiwa kufanya ujasusi kwa manufaa ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:49:10
1322200

Wapalestina wakosoa njama za Kuyahudisha mtaala wa shule katika jiji la Quds

Wapalestina wanaendelea kulaani vikali njama za utawala haramu wa Israel za Kuyahudisha na kupotosha ukweli katika vitabu vya shule katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo.

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:45:06
1322199

Hizbullah kuiadhibu Israeli iwapo itafanya upumbavu kuhusu mapatano ya baharini

Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem ameonya kuwa harakati hiyo ya muqawama (mapambano ya Kiislamu) itauadhibu utawala haramu wa Israel na kuurudisha kwenye fahamu zake endapo utafanya upumbavu wowote katika suala la makubaliano ya kuweka mipaka ya baharini na Lebanon.

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:44:31
1322198

Abbas: Haina maana kuwa na nchi ya Palestina bila ya Quds, Gaza na Ukingo wa Magharibi

Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa, haitakuwa na maana yoyote kuwa na nchi ya Palestina bila ya Baitul Muqaddas (Jerusalem), Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:43:57
1322197

Iran yaunda kombora la balestiki la Hypersonic

Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kuzalisha kombora la balestiki la Hypersonic, lenye uwezo wa kupenya mifumo yote ya ngao ya ulinzi wa makombora duniani.

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:43:19
1322196

Onyo la Iran kwa Uingereza kwa vitendo vyake vya kiharibifu humu nchini

Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika matukio ya hivi karibuni ya humu nchini, "mkono wa utawala wa Kizayuni katika utekelezaji, mkono wa Uingereza katika propaganda na mkono wa utawala wa kiimla wa Aal Saud katika kugharamia machafuko, imeonekana wazi zaidi."

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:42:35
1322195

Rais Raisi: Adui amefeli kuidhoofisha Iran kama alivyoshindwa katika kampeni ya vikwazo

Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njama ya adui ya kuzua ukosefu wa utulivu nchini Iran imefeli sawa na ilivyoshindwa sera ya vikwazo vikali dhidi ya nchi hii.

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:41:58
1322194

Iran yasisitiza sera zake za kuwa na uhusiano na ujirani mwema na majirani zake.

Nasser Kanaani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huku akijibu madai ya hivi karibuni ya Rais Ilham Aliyev wa Azerbaijan kuhusiana na eti uungaji mkono wa Iran kwa Armenia, amesisitiza kuwa sera kuu za Iran zimejengeka katika msingi wa kuwa na ujirani mwema na kupanua mahusiano na majirani wake wote na kuwa kuimarisha uhusiano na mmoja wa majirani hao hakuna maana ya kufanya uadui na majirani wengine.

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:41:20
1322193

Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Uwezo wa makombora wa Iran ni wa utaalamu wa ndani na uzuiaji hujuma

Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, kuifanya sekta ya ulinzi ya makombora itegemee kikamilifu uwezo na utaalamu wa ndani kumeipa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nguvu za kumhofisha adui asiweze kuanzisha mashambulio.

source :
Ijumaa

11 Novemba 2022

20:40:29
1322192

UNICEF: Mamilioni ya watoto hatarini kuathirika na mafuriko duniani

Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetangaza kuwa, mamilioni ya watoto katika maeneo mbalimbali ya dunia wanakabiliwa na hatari ya mafuriko.