Jeshi la Yemen kwa kushirikiana na harakati ya wananchi ya Answarullah nchini humo, sambamba na kutekeleza operesheni iliyopewa jina la 'Ushindi kutoka kwa Mwenyezi Mungu' katika mkoa wa Najran, limeusababishia utawala wa Aal-Saud maafa na hasara kubwa.
Endelea ...-
-
Malengo ya Bin Salman kukubali rasmi dhima ya mauaji ya Khashoggi
Septemba 28, 2019 - 11:08 AMBaada ya kupita karibu mwaka mmoja tangu mauaji ya mwandishi na mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi, mrithi wa ufalme wa nchi hiyo Muhammad bin Salman amekana kuhusika na mauaji hayo lakini amekubali kubea dhima na lawama zake.
Endelea ... -
Kumbukumbu ya kuanza vita vya kulazimishwa, maonyesho ya uwezo wa kijeshi wa Iran
Septemba 23, 2019 - 9:36 AMTarehe 31 Sharivar sawa na tarehe 22 Septemba, inasadifiana na kuanza vita vya kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran.
Endelea ... -
Juhudi za Afrika kwa ajili ya kupambana na ugaidi
Septemba 16, 2019 - 12:51 PMKufuatia kuongezeka mashambulizi ya ugaidi katika nchi za Kiafrika, hususan eneo la Sahel, viongozi wa eneo la magharibi mwa bara hilo, wametenga kiasi cha Dola bilioni moja kwa ajili ya kukabiliana na tishio linaloongezeka la harakati za makundi yenye kufurutu ada katika eneo.
Endelea ... -
Moto wa Ansarullah waiteketeza ARAMCO; Saudia yatafuta njia ya kujigandua kwenye urimbo wa kinamasi cha Yemen
Septemba 16, 2019 - 12:45 PMVituo vya mafuta vya shirika la mafuta la Aramco katika viwanda vya kusafisha mafuta vya Abqaiq na Khurais vilivyoko mashariki ya Saudi Arabia vimeteketezwa na moto mkubwa. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia imetangaza kuwa chanzo cha moto huo ni shambulio lililofanywa na ndege zisizo na rubani za droni.
Endelea ... -
Ukosoaji mkali wa Harakati ya HAMAS dhidi ya Saudi Arabia
Septemba 16, 2019 - 12:44 PMHarakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa taarifa, ambayo kwa mara nyingine tena imeikosoa vikali Saudi Arabia na kuwataka viongozi wa nchi hiyo wamuachilie huru mmoja wa viongozi wandamizi wa harakati hiyo anayeshikiliwa nchini humo.
Endelea ... -
Maombolezo ya Ashura ya Imam Hussein AS yaadhimishwa kote duniani
Septemba 11, 2019 - 1:46 PMMamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia hii leo wanaadhimisha siku ya Ashura ya kukumbuka alipouawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Endelea ... -
Watawala wa Aal-Khalifa ni Waarabu au Waebrania?
Agosti 28, 2019 - 11:36 AMKatika hali ambayo, utawala haramu wa Israel unakiuka mamlaka ya ardhi na kujitawala nchi tatu za Kiarabu za Iraq, Syria na Lebanon, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Bahrain ambayo ni nchi ya Kiarabu ameunga mkono waziwazi hujuma na mshambulio hayo ya Israel dhidi ya nchi hizo.
Endelea ... -
Waislamu wa Madhehebu ya Shia waadhimisha Sikukuu ya Ghadir
Agosti 22, 2019 - 12:09 PMWaislamu wa madhehebu ya Shia kote duniani leo wanaadhimisha sikukuu ya Ghadir ambayo ni kati ya siku muhimu zaidi katika kalenda ya historia ya Uislamu.
Endelea ... -
Serikali ya Nigeria yaendeleza njama dhidi ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo
Agosti 21, 2019 - 2:23 PMAskari usalama wa Nigeria wameendeleza vitimbi na njama zao dhidi ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky na kumpeleka mahala pasipojulikana.
Endelea ... -
Kuaga dunia rais wa Tunisia na matukio ya usoni
Julai 28, 2019 - 12:13 PMKufutia kifo cha Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia, Mohamed Ennaceur (an-Nasir) spika wa bunge la nchi hiyo, ameteuliwa kushikilia kwa muda nafasi hiyo.
Endelea ... -
Sisitizo la Pompeo kuhusu nafasi ya Saudia katika kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Julai 28, 2019 - 11:53 AMKatika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imezingatia sana eneo la Ghuba ya Uajemi na nchi za kusini mwa eneo hili hususan Saudi Arabia, ambapo imetiliana nayo saini mikataba ya mauzo ya silaha ambayo ilikuwa haijawahi kushuhudiwa huko nyuma.
Endelea ... -
Tuhuma za Marekani dhidi ya Russia kwa kuisaidia Venezuela
Julai 23, 2019 - 12:47 PMKatika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani, siasa za upande mmoja za Washington dhidi ya nchi tofauti zinazopinga ubeberu na kupenda makubwa kwa Marekani, ikiwemo Venezuela , zimebadilika kuwa moja ya tofauti za msingi kati ya serikali ya Moscow na Washington.
Endelea ... -
Kutumwa askari wa Marekani nchini Saudia, hatua mpya ya kuzidisha mvutano katika eneo
Julai 22, 2019 - 10:39 AMHatua za kichochezi za serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani katika eneo, hususan ya kuongeza uwezo na harakati zake za kijeshi katika eneo la Ghuba ya Uajemi, imekabiliwa na radiamali kali na athirifu ya Iran.
Endelea ... -
Kushadidi mvutano baina ya Saudi Arabia na Qatar; mara hii katika suala la Hija
Julai 20, 2019 - 12:33 PMMzozo baina ya Saudi Arabia na Qatar kwa mara nyingine tena umeshadidi mara hii ni katika suala la ibada tukufu ya Hija.
Endelea ... -
Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain akiri kuanzishwa uhusiano wa nchi yake na Israel
Julai 20, 2019 - 12:28 PMWaziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain amekariri tena madai yake kwamba kuanzishwa uhusiano wa nchi hiyo na utawala haramu wa Israel ndio 'msingi wa amani halisi' katika eneo la Asia Magharibi.
Endelea ... -
Hatua ya Marekani ya kuvunja rasmi mkataba wake na Uturuki
Julai 20, 2019 - 12:10 PMHatua ya Uturuki ya kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka kwa Russia imezusha mgogoro mkubwa katika uhusiano wake na Marekani hasa kwa kuzingatia kuwa kabla ya hapo pia Ankara na Washington zilikuwa tayari zina mzozo baina yao.
Endelea ... -
Congress ya Marekani yapasisha muswada wa kupiga marufuku mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati
Julai 20, 2019 - 12:09 PMKatika juhudi za kuwaunga mkono washirika wake wa kieneo na kunufaika kifedha na mauzo ya silaha, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ilitangaza hali ya hatari bandia ya kitaifa kwa lengo la kukwepa vikwazo vya kisheria vya bunge la nchi hiyo na hivyo kupata mwanya wa kuziuzia Saudia, Imarati na Jordan silaha za thamani ya dola bilioni 8.
Endelea ... -
Sisitizo la Erdoğan la kutosahaulika mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2016 nchini Uturuki
Julai 15, 2019 - 10:26 AMRais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesisitizia udharura wa kutosahaulika jaribio la mapinduzi ya kijeshi ya mwezi Julai 2016 dhidi ya serikali ya nchi hiyo.
Endelea ... -
Kuendelea hatua ya Uingereza ya kuuzia silaha utawala wa Aal Saud
Julai 15, 2019 - 10:25 AMSerikali ya Wahafidhina nchini Uingereza imekuwa na nafasi kubwa katika vita vya Yemen kwa kuendelea kuuzia silaha muungano vamizi unaoongozwa na Saudia.
Endelea ... -
China yapinga tena vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Julai 14, 2019 - 1:29 PMMsemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China kwa mara nyingine tena amesema kuwa Beijing inapinga vikwazo visivyo vya kisheria na vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran.
Endelea ... -
Ujasusi mpya wa serikali ya Marekani dhidi ya raia kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi
Julai 14, 2019 - 1:26 PMBaada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani Serikali ya Federali ya nchi hiyo ilitunga sheria mpya za kudukua kumpyuta na mitandao ya intaneti ya raia ikisaidiwa na Kongresi kwa kisingizio...
Endelea ... -
2019, mwaka wa kunyongwa watu zaidi nchini Saudi Arabia
Julai 13, 2019 - 12:45 PMVyombo vya habari vimeripoti kuwa kesi za kunyongwa watu nchini Saudi Arabia zimeongezeka mara mbili katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2019.
Endelea ... -
Mwezi mosi Dhulqaada: Dunia imeangaziwa na nuru ya kuzaliwa kwa Fatuma Maasumah (a.s)
Julai 9, 2019 - 11:06 AMTunapokea mwezi wa Dhulqaada kwa kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa tawi tukufu miongoni mwa matawi ya mtu wa baraka, mwezi mosi Dhlqaada ni siku aliyo zaliwa bibi Fatuma bint wa Imamu Mussa Alkadhim mototo wa Imamu Jafari Swadiq (a.s) anayejulikana kwa jina la Maasumah.
Endelea ... -
Hatua mpya ya Iran katika kujibu ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya; Iran yavuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa
Julai 3, 2019 - 1:27 PMKwa mujibu wa kifungu nambari 36 cha makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, Iran imevuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa.
Endelea ... -
Uungaji mkono wa moja kwa moja wa nchi saba za Ulaya kwa JCPOA na kupigwa hatua ya kivitendo
Julai 1, 2019 - 7:13 AMUmoja wa Ulaya na troika ya Ulaya inayozijumuisha nchi za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kama wanachama wa kundi la 4+1, mara kwa mara zimekuwa zikitangaza uungaji mkono wao kwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
Endelea ... -
Kwa nini Imarati imeamua kupunguza idadi ya wanajeshi wake huko Yemen?
Julai 1, 2019 - 6:54 AMBaadhi ya duru za habari zimeripoti kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umepunguza idadi ya askari wake waliokuwa katika mji wa Aden huko kusini mwa Yemen.
Endelea ... -
Sababu ya jeshi la Uturuki kushambulia maeneo ya jeshi la Syria
Julai 1, 2019 - 6:52 AMWizara ya Ulinzi ya Uturuki imetangaza sababu ya kuyalenga maeneo ya jeshi la Syria.
Endelea ... -
Malengo ya safari ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia nchini Korea Kusini
Juni 30, 2019 - 3:05 PMMohammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia, Jumatano tarehe 26 Juni aliwasili Seoul, mji mkuu wa Korea Kusini na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais Moon Jae-in wa nchi hiyo.
Endelea ... -
Hitilafu za Marekani na wanachama wa G20 zagubika mkutano wa kundi hilo, Japan
Juni 30, 2019 - 3:04 PMViongozi wa nchi 20 zenye uchumi mkubwa zaidi duniani wanakutana leo katika mji wa Osaka nchini Japan huku wingu kubwa la hitilafu na mivutano kati ya Marekani na baadhi ya wanachama wa kundi hilo likigubika ajenda ya mkutano huo.
Endelea ...