• Tukio la kusikitisha la Karbalaa

  “mimi siko hapa kwa ushari, au kutaka ugomvi ila niko hapa kwa ajili ya kurejesha heshima ya dini tukufu ya babu yangu mtume Muhammad s.a.w, niko hapa kuamrisha mema na kukataza uovu, niko hapa kusahihisha itikadi na imani za waislamu”.

  Endelea ...
 • Sehemu ya pili

  JE KUNA UMUHIMU WA KUWEPO DINI?

  Katika harakati zote za kidini tangu enzi za manabii, mpaka hivi sasa, kumewepo na wapinzani wa dini, wapinzani wa dini wamekuwa na hoja mbali mbali katika upinzani huo. Wapinzani wa dini tunaweza kuwagawanya katika makundi mawili. Wapinzani wa dini wa zamani (enzi za manabii) na wapinza wa dini wa sasa

  Endelea ...
 • Fadhila za Sayyidna Ali bin Abi Twalib a.s

  Ali bin Abitwalib a.s alikuwa ni ndugu wa Mtume Muhammad s.a.w na swahaba wapekee,Ali bin Abitwalib ndiye swahaba aliyemuoa Fatma bint ya mtume Muhammad s.a.w na ndiye mtu pekee aliyezaliwa katika kaaba tukufu Makka.

  Endelea ...
 • Siku ya Ghadir

  Tukio la hija ya mwisho ya Mtume Muhammad s.a.w

  Ghadir

  Hijja hii ilihudhuruwa na maswahaba wengi sana, inasemekana kuwa idadi yao ilikuwa takriban watu laki moja na ishirini na nne elifu (124000), watu hawa katika siku ya jummamosi tarehe 24 mwezi wa Dhilqa’adah wakiwa sanjari na mtume Muhammad s.a.w waliongozana kuelekea katika mji mtukufu wa Makka kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya hijja.

  Endelea ...
 • Siku ya Arafa

  Siku ya Arafa ni siku ya tisa ya mwezi wa Dhulhaj, siku hii ni siku ya muhimu sana kwa waislamu hasa kwa Mashia,

  Endelea ...
پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni