• MALEZI BORA KWA WATOTO

  Hakika suala la malezi bora ni suala muhimu katika maisha ya mtoto kwa maana malezi bora ndio kipengere muhimu kinacholeta tofauti baina ya mwanadamu na viumbe vingine hai, hivyo kwa malezi bora ndio twaweza kumpata mwanadamu mwema vilevile kinyume chake

  Endelea ...
 • Historia ya ugonjwa wa UKIMWI

  Licha ya wanasansi kuumiza kukosa usingizi kutafuta dawa za matibabu ya ugonjwa huu, wanganga wa jadi pia hawajabaki nyuma katika kufanya jitihada za kutafuta tiba ya ugonjwa huu, na wengine Kama babu wa Loliondo walijaribu kudai kuota dawa ya ugonjwa huu lakini haikusaidia.

  Endelea ...
 • Shaaban Robert Fasihi wa pekee

  Shaban Robert ni mshairi, fasihi na mwandishi mahiri ambaye anamchango mkubwa katika kuendeleza tamaduni na lugha adhimu ya kiswahili, Shaaban Reobert ni fahari ya Tanzania.

  Endelea ...
 • Tukio la kusikitisha la Karbalaa

  “mimi siko hapa kwa ushari, au kutaka ugomvi ila niko hapa kwa ajili ya kurejesha heshima ya dini tukufu ya babu yangu mtume Muhammad s.a.w, niko hapa kuamrisha mema na kukataza uovu, niko hapa kusahihisha itikadi na imani za waislamu”.

  Endelea ...
 • Sehemu ya pili

  JE KUNA UMUHIMU WA KUWEPO DINI?

  Katika harakati zote za kidini tangu enzi za manabii, mpaka hivi sasa, kumewepo na wapinzani wa dini, wapinzani wa dini wamekuwa na hoja mbali mbali katika upinzani huo. Wapinzani wa dini tunaweza kuwagawanya katika makundi mawili. Wapinzani wa dini wa zamani (enzi za manabii) na wapinza wa dini wa sasa

  Endelea ...
 • Fadhila za Sayyidna Ali bin Abi Twalib a.s

  Ali bin Abitwalib a.s alikuwa ni ndugu wa Mtume Muhammad s.a.w na swahaba wapekee,Ali bin Abitwalib ndiye swahaba aliyemuoa Fatma bint ya mtume Muhammad s.a.w na ndiye mtu pekee aliyezaliwa katika kaaba tukufu Makka.

  Endelea ...
 • Siku ya Ghadir

  Tukio la hija ya mwisho ya Mtume Muhammad s.a.w

  Ghadir

  Hijja hii ilihudhuruwa na maswahaba wengi sana, inasemekana kuwa idadi yao ilikuwa takriban watu laki moja na ishirini na nne elifu (124000), watu hawa katika siku ya jummamosi tarehe 24 mwezi wa Dhilqa’adah wakiwa sanjari na mtume Muhammad s.a.w waliongozana kuelekea katika mji mtukufu wa Makka kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya hijja.

  Endelea ...
 • Maajabu ya Imamu Jaafar [a.s.]

  Ni kisa cha Imamu Jaafar Swadiq alipokutana na Mganga wa kihindi, na kujiri mazungumzo yenye mafunzo ya ajabu kutoka kwa Imam Jaafar Swadiq ambayo yalimstaajabisha Mhindi huyo.

  Endelea ...
 • Maajabu ya Aliy [a.s.]

  Bin Asfari kutoka Sham akasema: ninashuhudia kuwa wewe ni mtoto wa nabii na Ali bin Abi Twalib ni Khalifa na wasii wa mtume Muhammadi na kwamba Ali bin Abitwalib, ndiye unaestaili uongozi kuliko Muawiya.

  Endelea ...
 • Lailatul-Qadr

  lailatul qadri ni usiku wa pekee ambao ni kama zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa waja wake kwani kufanya ibada katika usiku huu ni sawa na kufanya ibada ya miezi elfu moja.

  Endelea ...
 • kisa chenye mafundisho

  Matatizo ni kitu cha kawaida katika maisha ya mwanadamu kwamaana hana ukamilifu, hivyo kitu muhimu ni kutafuta njia sahihi ya utatuzi wa tatizokatika maisha yetu ya kila siku. hiyvo tuwepamoja kuona huyu bwana njia gani anatumia katika kutatua tatizo liliopo baina ya ndugu wawili

  Endelea ...
 • Elimu na jamii

  Je! Wafahamu kwamba:

  Kupumzika huongeza nguvu ya akili! Watambu kwamba kupunguza kuvuta sigara humfanya mtu kujihisi Saada! Wafahamu kwamba kunywa glasi moja ya maziwa kila siku yamfanya mtu kuwa mwerevu! Watambua kwamba hisia ya kuonja kwenye vipepeyo iko miguuni mwake!!

  Endelea ...
 • Jamii

  SHAKA NA DHANA MBAYA NA ATHARI ZAKE KATIKA MAHUSIANO YA KIFAMILIA

  يا أَيُّهَا الَّذينَ آمَنُوا اجْتَنِبُوا كَثيراً مِنَ الظَّنِّ إِنَّ بَعْضَ الظَّنِّ إِثْمٌ وَ لا تَجَسَّسُوا وَ لا يَغْتَبْ بَعْضُكُمْ بَعْضاً أَ يُحِبُّ أَحَدُكُمْ أَنْ يَأْكُلَ لَحْمَ أَخيهِ مَيْتاً فَكَرِهْتُمُوهُ وَ اتَّقُوا اللَّهَ إِنَّ اللَّهَ تَوَّابٌ رَحيم Enyi mlio amini! Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala msipelelezane, wala msisengenyane nyinyi kwa nyinyi. Je! Yupo katika nyinyi anaye penda kuila nyama ya nduguye aliye kufa? Mnalichukia hilo! Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kupokea toba, Mwenye kurehemu. Quran 49/12

  Endelea ...
 • Afya ya jamii

  Dawa bandia za Malaria zaongeza madhara

  Ikilezwa kuwa katika miaka 2009-2011 Dawa bandia zimekuwa zikizidi katika Nchi za Afrika Lengo kuendelza ugonjwa huo na kuonyesha kuwa bara la Afrika ni masikini na.. wataalamu wa maswala ya afya katika bara la Afrika wanapaswa kuchukua hatua kambambe za kusitisha kuenea kwa dawa hizo bandia katika bara la Afrika au sio mamilioni ya watu watafariki.

  Endelea ...