Imam Husein(as)

Siku ya Ashura ni siku ya likizo

  • Habari NO : 368715
  • Rejea : ABNA
Kutokana na siku ya Ashura timu moja ya Wakristo kusimamisha kila aina ya kazi zao kwa heshima za siku hiyo adhimu.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Siku ya Ashura ni siku adhimu na si siku ya Mashia pekee bali ni ya Waislam wote Duniani, Kulingana na siku ya huzuni hii timu moja ya Wakristo ilisimamisha kila aina ya kazi zake kwa heshima ya siku adhimu hiyo na kutangaza kua siku ya Ashura ni likizo.

Na tangazo lao ni kama lifuatavyo:

Kwa jina la Baba na la mwana na la roho mtakatifu

Kulingana na siku tukufu ya ashura kila aina ya kazi za timu ni nilikizo kwa heshima ya siku hii.

Uongozi wa timu 

 


پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni