Kiongozi mmoja wa Daesh: tumeshindwa Musol kwakuwa sababu ya makamanda wetu hawakuwa imara

Kiongozi mmoja wa Daesh: tumeshindwa Musol kwakuwa sababu ya makamanda wetu hawakuwa imara

Mmoja miongoni mwa viongozi wa kikundi cha kigaidi cha Daesh amethibitisha kuwa: moja katika sababu ziliopelekea kikundi cha Daesh kushindwa ndani ya mji wa Musol ni mvutano uliokuwa baina ya makamanda wa kikundi wetu

Shirika la habari habari AhlulBayt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na mmoja miongoni mwa viongozi wa vijana katika kikundi cha kigaidi cha Daesh na kukiri kuwa mmoja ya sababu iliopelekea Daesh kushindwa katika vita ya Musol ni kukithiri khitilafu baina ya makamanda wa kikundi hicho kunako mbinu za mapambano.
Aidha gaidi huyo ambaye mwenye jina la “Abu Abdilhaki Al-iraqiy” ameendelea kukiri na kusema kuwa, tumeshindwa katika mashambulizi mengi kwa sababu Abubakari Al-baghdadi alikuwa akiwaanisha makamanda wasiokuwa na utaalamu wakutosha katika kusimamia mapambano hayo, ambapo mtu mwingine yeyote hakuwa anaruhusiwa kupinga au kutoa mtazamu mbadala katika maamuzi hayo, kwa upande mwingine miongoni mwa sababu ni kuwakusanya wananchi wa mtaani na kuwaingiza vitani pamoja na wapiganaji wengine.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky