Maombolezo ya Imam Husein Duniani: Marekani

Habari picha/ maombolezo ya masaibu ya Imam Husein (a.s) katka mji wa Detroit

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: maomboilezo ya kuadhimisha mauaji ya kikatili yaliofanywa dhidi ya Mjukuu wa mtume Muhammad (s.a.w.w) yanaendelea kufanywa nchini Marekani, ambapo Waislamu na waumini wa Shia wamejumuika pamoja katika Taasisi ya Imam Sadiq iliopo katika jimbo la Michigan nchini Marekani, ambapo walikumuka yaliojiri katika viwanja vya Karbala ambapo Imam Husein (a.s) mjukuu wa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) aliuliwa kikatili katika sehemu hiyo mnamo mwaka wa 61 A.H.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni