Lavrov: tutafanya kila juhudi kuhifadhi mpango wa Nyuklia wa Iran

Lavrov: tutafanya kila juhudi kuhifadhi mpango wa Nyuklia wa Iran

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi amesema katika jumuia ya umoja wa mataifa kuwa Urusi itafanya kila linawezekana katika kuhifadhi makubaliano ya mpango wa Nyuklia wa Iran

Shirika la habari AhlulByt (a.s) ABNA: hayo yamesemwa na Sergey Lavrov waziri wa mambo ya nje wa Urusi alipokuwa katika akizungumza katika umoja wa Mataifa kuwa: Iran imetekeleza ipasavyo ahadi yake kunako mpango wa Nyuklia nchini humo, hivyo Urusi itafanya kila juhudi katika kuhifadhi makubaliano hayo.
Aidha ameongeza kusema kuwa: pamoja yakuwa nchini Yemen, Syria, Iraq na Libya kuna hali ya usalama, ama hatupaswi kulisahau suala la Palestina, nami nachukua nafasi hii kwa wazi kabisa kupinga na kukemea hatua zinazochukuliwa na baadhi ya mataifa katika kupinga juhudi za kuleta suluhu na amani duniani.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky