Magaidi 66 wameuliwa katika mashambulio ya majeshi ya Afghanistan

Magaidi 66 wameuliwa katika mashambulio ya majeshi ya Afghanistan

Kufuatia mashambulizi yaliofanywa na majeshi ya Afghanistan dhidi ya vikundi vya kigaidi katika maeneo mbalimbali ya taifa hilo na kufanikiwa kuwaangamiaza magaidi 66 katika mashambulio hayo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: wizara ya ulinzi na usalama ya Afghanistan leo imetangaza kuwa, katika mashambulizi ya majeshi ya Afghanistan dhidi ya vikundi vya kigaidi nchini humo, katika maeneo mbalimbali nchini humo na kufanikiwa kuangamiza magaidi 66 nchini humo.
Katika mashambulio hayo pia magaidi 25 wamejeruhiwa na wengine 4 kufanikiwa kuwatia mbaloni, pia majeshi ya anga ya Afghanistan yameshambulia mashambulio 51 katika kambi za magaidi nchini humo.
Wizara ya ulinzi ya Afghanistan kuhusu kuuliwa au kujeruhiwa kwa majeshi ya nchi hiyo haijasema lolote mpaka sasa.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky