Majeshi ya ulinzi ya serikali ya mapinduzi ya kiislamu ya Iran na magaidi wa Daesh

Majeshi ya ulinzi ya serikali ya mapinduzi ya kiislamu ya Iran na magaidi wa Daesh

Majeshi ya kulinda mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika kambi ya Najafu magharibi mwa Iran yamefanikiwa kuisambaratisha timu moja ya magaidi 21 wa kikundi cha kigaidi cha Daesh nchini Iran

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: idara ya mawasiliano ya kambi Najaf ya majeshi ya ardhi la kulinda mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, imetangaza kutokea mapigano kati ya wapiganaji wa jeshi hilo na timu magaidi ya kikundi cha Daesh katika mpaka wa magharibi ya Iran.
Aidha majeshi ya Iran yalikuwa yanafuatilia harakati zote za timu hiyo ya watu 21, mpaka walivyotaka kuingia katika ardhi ya Iran, ambapo baada ya kuingia katika ardhi ya Iran ndipo wakawa wameendelea kufuatilia nyendo zao mpaka kufikia asubuhi ya leo ndio yakaanza mapambano na kikundi hicho hata kufanikiwa kuwaangamiza.
Katika taarifa hii imeeleza kuwa katika mashambulio hayo ambaya pia lilishiriki jeshi la Imamu Zaman, na mwisho wake kufanikiwa kuwaangamiza na wengine kuwatia mbaloni kupitia wanajeshi shujaa wa majeshi ya Iran.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky