Ndege za Marekani zawaamisha magaidi wa Daesh nchini Syria

Ndege za Marekani zawaamisha magaidi wa Daesh nchini Syria

Ndege za kivita za Marekani ndio zinazo wasaidia Magaidi wa Daesh kwa kuwatoa sehemu na kuwapeleka sehemu nyingine nchini Syria

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: vyanzo makini vya sehemu husika wamefichuwa siri hiyo kwa kusema ndege za kijeshi za Marekani huwa zinatumika kuwahamisha magaidi wa kikundi cha Kigaidi cha Daesh kuwatoa sehemu ya Deir ez-Zor na kuwapeleka sehemu isiofahamika nchini humo.
Vyombo vya habari vya Syria vimeongeza kusema kuwa: umoja wa kimataifa dhidi ya Daesh unaosimamiwa na serikali ya Marekani nchini humo, zimeonekana Ndege zao katika vijiji Marashidah mashariki mwa Deir ez-Zor ambayo mpaka sasa kikundi cha kigaidi cha Daesh kinaendelea kufanya mauaji yake katika sejhemu hiyo.
Kuonekana kwa Ndege za serikali ya Marekani zikifanya mambo kama hayo, si mara ya kwanza nchini humo, ambapo miezi mitatu ilopita walionekana kuwachukuwa makamanda wa kikundi cha kigaidi cha Daesh katika sehemu ya Tuyemin nchini humo.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky