Picha za wairan wakiadhimisha mapinduzi ya kiislamu na kujibu vitisho vya Trump

Picha za wairan wakiadhimisha mapinduzi ya kiislamu na kujibu vitisho vya Trump

Wananchi wa Iran leo wameadhimisha miaka 38 tangu nchi hiyo ilipotoa utawala wa kifalme na kuleta utawala wa kiislamu ambao unaongozwa kwa misingi ya dhehebu la Shia ithnaasharia, wananchi wa Iran na viongozi wa Iran wamesisitiza kuwa Iran haitabadili misimamo yake na kwamba Trump si lolote si chochote mbele ya Iran ya kiislamu.Taarifa zinazohusiana

Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni