Rais mpya wa Jamhuri ya Iraq aenda nchini Kuwait

Rais mpya wa Jamhuri ya Iraq aenda nchini Kuwait

“Barham Salih” Rais mpya wa Jamhuri ya Iraq aitembelea Kuwait ikiwa ni kama safari yake ya kwanza baada ya kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa nchi hiyo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Barham Salih, Rais mpya wa jamhuri ya Iraq asubuhi ya leo aitembelea rasmi Kuwait akiwa pamoja na baadhi ya viongozi ikiwa ndio safara yake ya kwanza.
Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Iraq imetangaza kuwa safari Rais huyo imekamilika baada ya wito wa Amiri wa Kuwait ambapo katika safari hiyo pande hizo mbili watazungumzia masuala ya fungamano la mataifa yao.
Inasemekana kwamba Rais wa Iraq baada ya Kuwait atakwenda nchi za Falme za Kiarabu na mataifa mengine ya kiarabu ya jirani.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky