Rais wa Iran akiwa katika maandamano ya kuadhimisha mapinduzi ya kiislamu ya Iran+ picha

Rais wa Iran akiwa katika maandamano ya kuadhimisha mapinduzi ya kiislamu ya Iran+ picha

Rais wa jamhuri ya Kiislamu ya Iran DK Hasan Rohaniy ameonekana akishirikiana na mamia ya waandamanaji wakiadhimisha miaka ya 40 ya mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika mji wa Teheran

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Rais Hasan Rohaniy wa jamhuri ya kiislamu ya Iran ameshiriki maandamano, akijumuika na mamia ya wananchi wa Iran waliojitokeza kwa wingi katika mikoa mbalimbali ya Iran katika kuadhimia miaka 40 ya mapinduzi ya kiislamu ya Iran.
Rais wa jamhuri ya kiislamu ya Iran, aidha ametoa shukurani za dhati kwa wananchi wa kufuatia kushiriki kwao wengi katika maandamano hayo ya kuadhimisha miaka arubaini ya ushgindi wa mapinduzi ya kiislamu ya Iran dhidi ya utawala wa Kifamfe uliokuwa katika kipindi hicho.

mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky