Watu milioni 15 wafanya ziara ya Arubaini ya Imam Husein (a.s) mjini Karbala

Watu milioni 15 wafanya ziara ya Arubaini ya Imam Husein (a.s) mjini Karbala

Kamati ya utawala katika mkoa wa Karbala nchini Iraq wamethibitisha kuingia watu zaidi ya milioni 15 katika mkoa huo, kwaajili ya kumzuru mjukuu wa Mtume Muhammad Imamu Husein (a.s) huku akitoa habari ya kuongezeka kwa idadi hiyo

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Kamati ya utawala katika mkoa wa Karbala nchini Iraq wamethibitisha kuingia watu zaidi ya milioni 15 katika mkoa huo, kwaajili ya kumzuru mjukuu wa Mtume Muhammad Imamu Husein (a.s) huku akitoa habari ya kuongezeka kwa idadi hiyo ambapo milioni kati ya idadi hiyo ni kutoka mataifa mengine mbalimbali.
Msimamizi mkuu wa kamati hiyo ya mkoa wa Karbala amesema: idadi hiyo ambapo kwa mwaka huu Karbala itakuwa imepokea wageni kutoka nje ya Iraq zaidi ya watu milioni 4 ambapo asilimia kubwa ya idadi hiyo ni wananchi kutoka Iran.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

Sehemu maalumu ya mashujaa Makamanda wa Kislamu Haji Qassim Soleimani Na Abumahdi Almuhandisi
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni