Habari picha/ maombolezo ya masaibu ya Imam Husein (a.s) mjini Dallas Texas

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: maomboilezo ya kuadhimisha mauaji ya kikatili yaliofanywa dhidi ya Mjukuu wa mtume Muhammad (s.a.w.w) yanaendelea kufanywa nchini Marekani, ambapo Waislamu na waumini wa Shia wamejumuika pamoja wakikumbuka yaliojiri katika viwanja vya Karbala ambapo Imam Husein (a.s) mjukuu wa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w) aliuliwa katika sehemu hiyo mnamo mwaka wa 61 A.H, waombolezaji hao, wameomboleza msiba huo katika kituo cha Kiislamu cha Imam Ali iliopo katika katika mji wa Dallas katika jimbo la Texas nchini Marekani.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni