Wazi wa mambo ya nje wa Uturuki akutana na Zarif mjini Tehrean

Wazi wa mambo ya nje wa Uturuki akutana na Zarif mjini Tehrean

Mevlut Cavusoglu” waziri wa mambo ya nje wa Uturuki ameonana na Dokta Mohammad Javad Zarif ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Iran mjini Tehran nakufanya baina ya pande hizo mbili

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: Mevlut Cavusoglu waziri wa mambo ya nje wa Uturuki leo ameonana na mwenyeji wake mwenza Dokta Mohammad Javad Zarif na kufanya mazungumzo baina ya bande hizo katika mji wa Teheran.
Aidha Mevlut Cavusoglu, ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa serikali ya jamhuri ya Uturuki akiwa na jopo lake la kisiasa amewasili nchini Iran, ambapo alasiri ya leo walikutana na waziri wa mambo ya nje wa Iran Dokta Mohammad Zarif na kuzungumzia masuala muhimu ya mataifa hayo.
Nao wamezungumzia kunako njia mbalimbali za kukuza uhusiano baina ya mataifa hayo, hususan masuala ya uchumi na tamaduni za nchi hizo, alkadhalika walizungumzia hali halisi ya mazingira ya ukanda wa mashariki ya kati na zaidi kuhusu suala la hali ya usalama wa Syria.
mwisho/290


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

We are All Zakzaky