Habari picha/ maombolezo ya siku ya Ashura nchini Senegali

Shirika la habari AhlulBayt (a.s) ABNA: waumini wa madhehebu ya AhluloBayt (a.s) nchini Senegali wafanya maombolezo ya siku ya Ashura nchini humo, wakikumbuka siku aliouwawa kikatili Imam Husein (a.s) Mjukuu wa mtume Muhammad (s.a.w.w) katika mji wa Karbala, ambapo Waislamu na waumini wa Shia wamejumuika pamoja katika mji mkuu wa nchi hiyo.


Tuma maoni

Email yako haiwezi kutuma, tafadhali chunguza Email yako

*

پیام رهبر انقلاب به مسلمانان جهان به مناسبت حج 1441 / 2020
We are All Zakzaky
Hatuukubali muamala wa Karni