-
Elon Musk aunga mkono kujiondoa Marekani katika UN, NATO
Bilionea Elon Musk ametangaza hadharani kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa kutoka Umoja wa Mataifa UN na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO.
-
Waislamu, Wakristo wana nukta nyingi za pamoja zaidi ya wanavyofikiri
IQNA - Wakati Krismasi ikiwa imewadia, afisa wa kundi kubwa zaidi la kutetea Waislamu nchini Marekani, akinukuu aya za Qur’ani Tukufu, amengazia jinsi Waislamu wanavyomheshimu Yesu au Nabii Isa (AS).
-
Habari Pichani | Sherehe ya kuzaliwa kwa Hazrat Fatima Zahra (s.a) katika Mji mji wa "Newport" huko Wales
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya kuzaliwa kwa Hadhrat Fatima Zahra (s.a) ilifanyika kwa kuhudhuriwa na kundi kubwa la Wapenzi na Wafuasi wa Shule (Madrasat) ya Shia katika Kituo cha Kiislamu cha "Husseiniy" huko katika Mji wa "Newport", nchini Wales.
-
Habari Pichani | Madarasa ya Qur'an na Dua kwa Watoto wa Kishia huko Amerika
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Darasa la Qur'an na Dua kwa Watoto lilifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Shia cha jimbo la "Michigan" nchini Marekani.
-
CAIR yataka nchi za Kiislamu zichukue hatua dhidi ya askari wa Israel aliyevunjia heshima Qur'ani
Kitendo cha hivi punde zaidi cha kuvunjiwa heshima Qur'ani na askari wa utawala haramu wa Israel huko Gaza kimelaaniwa na watu wengi, ikiwa ni pamoja na kundi kubwa zaidi la kutetea Waislamu nchini Marekani ambalo lilitaka Waislamu wachukuliwe hatua dhidi ya hatua hizo za kusikitisha.
-
Video | Kukamatwa kwa wafuasi na watetezi wa Palestina katika Congress ya Marekani
Kwa mujibu wa shirika la habari la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Wanaharakati watetezi wa Palestina wanaopinga uuzaji wa silaha za Marekani kwa utawala wa Kizayuni walifanya maandamano siku ya Jumanne katika jengo la Bunge la Marekani, na baadhi yao walikamatwa kwa uingiliaji kati wa Polisi.
-
Habari Pichani | Marasimu ya maombolezo ya kifo cha kishahidi cha Hazrat Zahra (s.a) katika jimbo la Michigan
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la kimataifa la Ahlul Bayt (a.s) - ABNA - Hafla ya maombolezo ya kuuawa shahidi Hazrat Zahra (s.a) ilifanyika kwa kuhudhuriwa na kundi la wafuasi wa Shule ya Ahlul_Bayt (a.s) katika Husseiniyyah ya Imam Jafar Sadiq (a.s), katika jimbo la "Michigan" nchini Marekani.
-
Ripoti ya Picha | Marasimu za Maombolezo ya Siku za Fatimiyyah katika jimbo la "Colorado" la Marekani
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu ya maombolezo ya kifo cha kishahidi cha Hadhrat Fatima Zahra (s.a) imefanyika kwa kuhudhuriwa na kundi la Wapenzi na Wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) katika mji wa "Denver", Mji Mkuu wa jimbo la "Colorado" nchini Marekani.
-
Maonyesho ya "Jiometri katika Sanaa ya Kiislamu" katika jumba la makumbusho la "Watsworth Athenaeum" huko Amerika
"Miundo ya kijiometri katika Sanaa ya Kiislamu" ni maonyesho ya media kwa ajili ya kuchunguza kazi za kisanaa za Kiislamu.
-
Habari Pichani | Maandamano ya wafuasi wa Palestina katika mkutano wa G20 nchini Brazil
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Wakati wa mkutano wa kilele wa Kundi la 20 huko Rio de Janeiro, Brazil, vyama na Wanaharakati wanaoiunga mkono Palestina walifanya maandamano kupinga jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza na Lebanon na kutaka kufanyika usitishaji wa vita mara moja.
-
Kituo cha kwanza cha elimu ya Kiislamu kwa lugha ya Kihispania kitafunguliwa huko «Alif», nchini Marekani
Kituo cha Elimu ya Kiislamu katika Wilaya ya «Alif», kilichopo Houston, Marekani, kitafungua rasmi milango yake kwa umma kwa ajili ya sherehe za ufunguzi.
-
Swala ya Ijumaa ya Mashia katika Kituo cha Kiislamu cha Darul-Hikma cha Amerika
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Swala ya Ijumaa ya Mashia iliswaliwa huko Marekani; wakiongozwa na Hujjat al-Islam Wal-Muslimina "Muhammad Ali Elahi" katika kituo cha "Nyumba ya Hekima ya Kiislamu / Dar al-Hikma al-Islamiya" katika Mji wa "Dearborn" katika jimbo la "Michigan".
-
Habari Pichani | Bendera kubwa ya Palestina ikipepea nchini Brazil
Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul_Bayt - ABNA - Katika mkesha wa mkutano wa kilele wa Kundi la 20, utakaofanyika kati ya Novemba 18 na 19 huko Rio de Janeiro, Brazil, idadi kadhaa ya raia wa Brazil walipeperusha bendera kubwa ya Palestina kwenye ufuo wa Copacabana ili kuonyesha uungaji mkono wao kwa Palestina.
-
Katuni | Trump atafanya nini akiwa Rais wa Marekani
Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - inatabiriwa kuwa Donald Trump, kama marais wengine wa Marekani, atakuwa mfuasi mkubwa wa uvimbe wa saratani katika eneo la Kikanda (la Mashariki ya Kati) na watawala wake. Suala hili limekuwa mada ya Mchora Katuni wa Gazeti la Kimataifa la Al-Quds al-Arabi.
-
Habari Pichani | Maandamano ya watetezi wa Gaza na Lebanon mbele ya jengo la Shirikisho la Soka la Ufaransa
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt - ABNA - Kundi la watetezi wa Palestina walikusanyika mbele ya jengo la Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) na kutaka mechi ya mpira wa miguu kati ya Ufaransa na Utawala Haram wa Kizayuni isifanyike, na kuitaka Serikali bandia ya Kizayuni isimamishe mashambulizi yake dhidi ya Gaza na Lebanon.
-
Ushindi wa wawakilishi 2 wa Wanawake Waislamu wa Congress ya Amerika
"Rashidah Talib" na "Ilhan Omar", ambao walikuwa Wanawake wa kwanza wa Kiislamu na Kidemokrasia kuingia katika Bunge la Congress la Marekani, kwa mara nyingine tena wameshinda katika uchaguzi huu dhidi ya Wapinzani wao wa Chama cha Republican.
-
Maandamano ya waungaji mkono Palestina katika siku ya uchaguzi Marekani
Sambamba na siku ya uchaguzi wa rais nchini Marekani, waungaji mkono wa Palestina wameandamana mjini New York kupinga sera ya serikali ya Marekani kuhusu Palestina.
-
Marekani imemuomba Kiongozi wa Iran asijibu uchokozi wa Israel
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwa mara nyingine tena ameitaka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutojibu mashambulizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni katika ardhi ya Iran.
-
Mauaji ya umati ya Wapalestina kwa silaha za Marekani
Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza kwa kutumiwa silaha za Marekani limekuwa suala lenye utata linalojadiliwa katika duru za kisiasa na vyombo vya habari vya Marekani.
-
Waislamu wakosoa uamuzi wa kuondoa bango lenye Hijabu huko Montreal
Mji wa Montreal utatuma ujumbe usio sahihi ikiwa utatoa bango kukaribisha katika ukumbi wa jiji ambalo linajumuisha mwanamke aliyevaa Hijabu. Haya ni kwa mujibu wa kundi la kitaifa la kutetea Waislamu wa Kanada.
-
Habari Pichani | Kuzinduliwa kwa Kituo cha Mazungumzo ya Kiislamu cha Imam Mahdi (a.t.f.s) nchini Brazil
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Sehemu Mpya ya Mazungumzo ya Kituo cha Kiislamu cha Imam Mahdi (a.t.f.s) ilifunguliwa katika Mji wa "Sao Paulo" nchini Brazil kwa kuhudhuriwa na kundi kubwa la Wafuasi wa Ahlul-Bayt al-Bayt(a.s).
-
Habari Pichani | Mkutano mpya wa Waislamu Wafuasi wa Shule (Madrasat) ya Ahlul-Bayt (a.s) katika Mji wa "Chicago", Amerika
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Zaidi ya Waislamu wapya 50 wanaofuata Shule (Madrasat) ya Ahlul-Bayt (a.s) na wakufunzi 10 kutoka maeneo yote Amerika, walikusanyika katika Mkutano ndani ya Jiji la " Chicago", Jiji lenye watu wengi zaidi katika jimbo la "Illinois". Mkutano huo ni wa muda wa siku tatu ili kuchunguza njia za kujenga Mustakabali wenye nguvu zaidi kwa jamii ya Kiislamu huko Amerika Kaskazini.
-
Video | Watetezi wa Palestina walikatiza hotuba ya Kamala Harris
Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Idadi ya watetezi wa Palestina walikatiza hotuba ya Kamala Harris, naibu wa Biden na mgombea wa Democratic katika uchaguzi wa rais wa Marekani. Watetezi wa Wapalestina (wanaodhulumiwa) walikatiza hotuba ya Harris kwa kauli mbiu wakisema: "Sitisha Vita vya Gaza" na kumuuliza ikiwa, kwa kuendelea na utaratibu huu (wa Vita vya Gaza), "Je, anataka Trump awe Rais wa Marekani tena?!"
-
Ripoti ya Video | Maandamano ya watetezi wa Gaza na Lebanon katika jiji la Newcastle, Uingereza
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) Kundi kubwa la watetezi wa Gaza na Lebanon lilifanya maandamano mjini Newcastle, Uingereza, kulaani jinai za utawala haram wa Kizayuni na kutaka kusitishwa mara moja kwa vita yake dhidi ya Gaza na Lebanon.
-
Video | Wanawake wa Marekani walijitokeza na kuja mitaani wakiwa wamevalia Sanda
Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul-Bayt - ABNA - Wanawake wa Marekani walikuja mitaani huku wakiwa wamevalia sanda zilizolowa damu na kusema: "Tuko hapa ili kuwapa changamoto watetezi wa Haki za Wanawake wa Magharibi, wanaodai kuunga mkono maadili ya ufeministi (Uwanaharakati wa ukombozi wa Mwanamke wa Magharibi), lakini kiutendaji hawafanyi lolote kwa Wanawake na Watoto wa Kipalestina wanaouawa!"
-
Uchoraji wa ukutani wa Sura ya Syed Hassan Nasrullah katika Mji Mkuu wa Venezuela
Katika hafla ya uzinduzi wa mchoro wa (sura) uso wa Syed Hassan Nasrullah, mche wa mti pia ulipandwa kwa ajili ya kumbukumbu ya Syed Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hezbollah ya Lebanon aliyeuawa Kishahidi.
-
Qur'ani Tukufu imezidi kupata umaarufu miongoni mwa Wamarekani wakati wa vita vya Gaza
Mkurugenzi wa kituo cha uchapishaji cha Qur'ani Tukufu huko Chicago, Marekani, amebainisha ongezeko kubwa la hamu ya Wamarekani kusoma Qur’ani Tukufu tangu kuanza kwa Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na vita vya Gaza.
-
Ripoti ya Video | Watetezi wa Lebanon na Palestina wanakusanyika katika Jiji la New York
Kwa mujibu wa Shirika la habari la Ahl al-Bayt (AS) - ABNA - Kufuatia mashambulizi ya anga ya utawala haram wa Kizayuni katika maeneo mbalimbali ya Lebanon na Ghaza, idadi kubwa ya raia wa Marekani wamefanya maandamano na marasimu za kumbukumbu Mjini New York. Waandamanaji hao wamelaani jinai za utawala wa Kizayuni na kutaka kusitishwa mara moja kwa vita hiyo.
-
Nataka teknolojia inayoua na kuwakatakata watoto!
Kulingana na Shirika la Habari la - ABNA - : Kijana wa Kimarekani alitembelea kibanda cha Israel kwenye maonyesho ya sekta ya silaha za kijeshi za Israel na kuwaambia: "Nataka kuona teknolojia inayoua na kuwakatakata watoto!" Kwa Hakika! Ni kwa nini wanashangaa kusikia swali hili na hawako tayari kujibu swali?! Si ni ukweli kwamba kuua Wanawake na Watoto wasio na hatia ndio kazi yao ambayo wamebobea kwayo?!
-
Chuo Kikuu cha Michigan Marekani kinabagua Waislamu
Kundi la kutetea haki za Waislamu Marekani limewasilisha malalamiko katika Idara ya Elimu ya Marekani, likitaka uchunguzi ufanyike iwapo Chuo Kikuu cha Michigan kimeshindwa kuwalinda wanafunzi wa Palestina, Waarabu, Waislamu na Waasia Kusini kutokana na kubaguliwa.