-
Smotrich: Vifo vya Wapalestina milioni mbili huko Gaza kwa njaa ni "haki na uadilifu"
Waziri wa Fedha wa Israel, Bezalel Smotrich, amesema kwamba vifo vya Wapalestina milioni mbili katika Ukanda wa Gaza kutokana na njaa "vinaweza kuwa vya haki na uadilifu kwa ajili ya kuwarejesha mateka wa Israel," wanaoshikiliwa na makundi ya mapambano ya ukombozi ya Palestina.
-
Takwa la Baghdad la kuondolewa wanajeshi wa Marekani kutoka Iraq
Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq imetoa mwito wa kuainishwa ratiba na jedwali la kuondoka wanajeshi wa Marekani kutoka katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu
-
Ukosoaji wa Iran kwa baadhi ya nchi za Ulaya kwa kuunga mkono vitendo vya kigaidi vya Israel
Ali Bagheri Kani, Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo haki ya kisheria ya Tehran ya kuuadhibu utawala wa Kizayuni; na amelaani na kukemea hatua ya baadhi ya nchi za Ulaya ya kushirikiana na Marekani kuzuia kulaaniwa mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) shahidi Ismail Haniyeh katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Ripoti pichani| Uingiliaji kati wa Polisi wa Marekani dhidi ya Waandamanaji wanaounga mkono Palestina huko New York
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Kundi la wafuasi wa Kipalestina walikusanyika katika Jiji la New York, Marekani, kupinga mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kutaka kusitishwa mara moja mashambulizi hayo.
-
Ushindi wa Nicolas Maduro na kuanza uingiliaji wa kigeni katika masuala ya ndani ya Venezuela
Baada ya ushindi wa Nicolas Maduro katika uchaguzi wa rais wa Venezuela na kuanza uingiliaji wa kigeni katika masuala ya nchi hiyo, Caracas imewaita nyumbani wanadiplomasia wake kutoka nchi saba na kuzitaka nchi hizo kuwaondoa wanadiplomasia wao kutoka Venezuela.
-
Ujumbe wa pongezi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa Rais Masoud Pezeshkian
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika ujumbe wake wa kupongeza kuchaguliwa Rais Masoud Pezeshkian kuwa rais mpya wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran ametangaza utayarifu wa shirika hilo la kimataifa kwa ajili ya kushirikiana na serikali mpya ya Iran.
-
Ripoti katika picha / Marasimu za Maombolezo ya Muharram katika Kituo cha Kiislamu cha Brazil
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Hafla za Maombolezo ya kuuawa Kishahidi Imam Hussein (a.s) zilifanyika kila Usiku katika Mwezi wa Muharram kwa kuhudhuriwa na wafuasi wengi wa Madrasa ya Ahlul-Bayt (a.s) katika Kituo cha Kiislamu cha Brazil, katika Jiji la Sao Paulo la nchi hii.
-
Katibu Mkuu wa UN: Watu nusu milioni wanakufa kila mwaka kwa joto kali
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa dharura wa kuchukuliwa hatua ili kulinda vyema mabilioni ya watu duniani kote walioathiriwa na athari za joto kali, huku ongezeko la joto duniani likiendelea kupanda bila ya kuwepo dalili ya kupungua.
-
Ripota wa Umoja wa Mataifa akosoa vitendo vya kibaguzi vya utawala wa Israel
Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu huko Palestina amekosoa mienendo ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Hatimaye utawala wa Kizayuni wakiri kuwa umeua mateka wake Ghaza
Baada ya siku 290 za vita, hatimaye jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa makumi ya mateka wa Kizayuni wameuliwa katika ukanda wa Ghaza na askari wa utawala huo.
-
Biden ajitoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Marekani
Hatimaye, Joe Biden, Rais wa Kidemokrati wa Marekani mwenye umri wa miaka 81, amejiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa nchi hiyo baada ya mijadala mingi kuhusu kugombea kwake katika uchaguzi wa Novemba 5 mwaka huu, na kumuunga mkono Kamala Harris, makamu wake kama mgombea wa kiti hicho.
-
Joe Biden ajitoa kwenye kinyang'anyiro cha Urais
Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza kujitoa katika mbio za kutetea kiti chake cha urais baada ya kuongezeka mashinikizo ya kumtaka ajiondoe kutokana na sababu mbalimbali likiwemo suala la afya na uwezo wake wa kukumbuka mambo.
-
Republican: Biden ni punguani, asiachiwe kitufe cha silaha za nyuklia
Muda mfupi baada ya Rais Joe Biden wa Marekani kutangaza kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kutetea kiti chake cha urais, viongozi waandamizi wa chama cha Republican wamesema mwanasiasa huyo mwenye miaka 81 hapasi kuachiwa nywila (kodi) za kitufe cha silaha za nyuklia kutokana na matatizo ya kisaikolojia yanayomsumbua.
-
Usambazaji wa sadaka miongoni mwa raia wa Kikristo nchini Brazil kwa ajili ya kuadhimisha tukio la Karbala + Video
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (A.S.) - Abna - Mashia wa "Sao Paulo" nchini Brazil, katika mwezi wa Muharram, walisambaza sadaka miongoni mwa raia wa Kikristo huko mitaa na masoko ya jiji hilo.
-
Blinken: Kujiondoa JCPOA ni katika makosa makubwa ya Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekiri bayana kuwa, hatua ya nchi hiyo ya kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni moja ya makosa makubwa zaidi yaliyowahi kufanywa na Washington katika miaka ya hivi karibuni.
-
EU yaunga mkono uamuzi wa ICJ kuhusu uvamizi haramu wa Israel huko Palestina
Mahakama ya juu ya Umoja wa Mataifa imeamua kwamba ukaliaji wa mabavu wa miaka 57 wa utawala ghasibu wa Israel katika ardhi za Wapalestina ni kinyume cha sheria, uamuzi ambao Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amesema unakaribiana na misimamo ya Umoja wa Ulaya (EU).
-
Biden anakaribia kujiondoa, wagombea 4 wanajitayarisha kumrithi
Rais wa Marekani, Joe Biden, anakaribia kufanya uamuzi wa kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwania tena kiti cha urais katika uchaguzi ujao. Haya ni kwa mujibu wa wa habari zilizovuja zinazothibitisha kwamba, chama cha Democratic kwa sasa kinajadili machaguo ya hatua zinazofuata.
-
Msimamo wa wawakilishi wa nchi tofauti katika Baraza la Usalama la UN dhidi ya utawala wa Kizayuni
Wawakilishi wa nchi tofauti katika Baraza la Usalama la Umoja wa Matafa wametoa radiamali yao kwa jinai za utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza.
-
Teknolojia ya Microsoft ya US yakumbwa na hitilafu na kuitikisa dunia
Hitilafu kubwa ya kiteknolojia iliyotokea asubuhi ya leo Ijumaa imesababisha mashirika makubwa ya ndege duniani kusitisha safari zao, mabenki kushindwa kutoa huduma kwa wateja, vyombo vya habari vya kimataifa kushindwa kurusha matangazo yao pamoja na kusimama kwa huduma nyingine nyingi zinazoendeshwa kwa kutumia teknolojia.
-
Uingereza na Marekani zaendelea kushambulia Yemen kuunga mkono Wazayuni
Mapema leo Alkhamisi asubuhi, televisheni ya Al Mashirah ya Yemen imeripoti kuwa, ndege za madola vamizi ya Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi matatu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa al Hudaidah, magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Russia: Migogoro ya Asia Magharibi inasababishwa na sera mbovu za Marerkani
Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, hali mbaya katika eneo la Asia Magharibi ni matokeo ya kushindwa sera mbovu za Marekani katika eneo.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Kila eneo la Gaza ni uwanja wa mauaji
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mashambulizi na jinai zinazoendelea kufanywa na jeshi la utawala ghasibu wa Israel katika kambi za wakimbizi wa Kipalestina huko Ukanda wa Gaza vimegeuza kila sehemu ya eneo hilo kuwa uwanja wa mauaji.
-
Iran yakanusha madai ya uwongo ya kuhusika katika jaribio la kumuua Trump
Akijibu baadhi ya ripoti zisizo na msingi zinazodai kuwa Iran imeshiriki katika jaribio la kumuua Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani, Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa tuhuma hizo hazina msingi wowote na kwamba ni za kichochezi.
-
Jaribio la mauaji Pennsylvania: Ni mchezo wa kuigiza au mbinu ya propaganda ya Trump?
Tukio la kujeruhiwa sikio rais wa zamani wa Marekani na mgombea wa sasa wa chama cha Republican, Donald Trump, alipokuwa akihutuba mkutano wa kampeni za uchaguzi huko Pennsylvania siku ya Jumamosi ya juzi limeibua maswali mengi baina ya wanasiasa na wanadau wa mitandao ya kijamii.
-
Trump ajeruhiwa kwa risasi mkutanoni Pennsylvania; asema yupo salama
Raisi wa zamani wa Markani, Donald Trump, na mgombea wa sasa wa kiti cha rais nchini humo jana alijeruhiwa kwa rsasi akiwa katika mkutano wa hadhara huko Butler, katika jimbo la Pennsylvania akihutubia wafuasi wake; hatua iliyoipelekea timu yake ya ulinzi kumtoa katika sehemu ya tukio.
-
FBI yathibitisha: Shambulio dhidi ya Trump lilikuwa jaribio la mauaji
Idara ya Upelelezi ya Marekani (FBI) imethibitisha leo Jumapili kwamba shambulizi dhidi ya rais wa zamani na mgombea wa sasa, Donald Trump, huko Pennsylvania jana jioni lilikuwa jaribio la mauaji, na kwamba imemtambua mpiga risasi aliyeuawa, huku uchunguzi ukiendelea.
-
Tukio la kupigwa risasi Trump; ishara ya kuongezeka ghasia za kisiasa nchini Marekani
Tukio la kupigwa risasi Donald Trump, rais wa zamani wa Marekani wakati akizungumza kwenye kampeni ya uchaguzi mbele ya wafuasi wake huko Butler, Pennsylvania, Jumamosi jioni, huku uchaguzi wa rais ukikaribia kufanyika nchini humo, limeibua gumzo kubwa la kisiasa katika vyombo vya habari vya Marekani.
-
Mauaji yaliyofeli ya Donald Trump wakati wa mkutano wake wa uchaguzi katika jimbo la Pennsylvania la Marekani + video
Rais huyo wa zamani wa Marekani ndiye aliyelengwa katika jaribio la kumuua.
-
Kitanzi kinazidi kubana koo ya Biden.. Wafadhili waungana na wanasiasa kutaka asigombee urais
Gazeti la New York Times limeripoti kwamba kundi la wafadhili mashuhuri wa chama cha Democratic wameungana na wanasiasa kupinga jaribio la Joe Biden la kutaka kugombea urais wa Marekani kwa muhula wa pili katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Novemba ijayo.
-
Netanyahu kutopitia Ulaya akienda US, anahofia kukamatwa
Waziri Mkuu wa utawala wa Israel, Benjamin Netanyahu amefuta mpango wa kushukia katika moja ya nchi za Ulaya kabla ya kuendelea na safari yake ya kwenda Marekani, akihofia kuwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) inajiandaa kutoa waranti wa kumtia nguvuni kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.